Akothee Amkingia Kifua Azziad Dhidi ya Wakosoaji wa Mitandaoni

Akothee Amkingia Kifua Azziad Dhidi ya Wakosoaji wa Mitandaoni

Mwanamuziki, Akothee, amejitokeza kumtetea TikTok queen na mtangazaji Azziad Nasenya baada ya kuvamiwa mitandaoni kwa madai ya kuishi maisha ya kuigiza. Kupitia waraka wake Instagram, Akothee ameeleza kuwa anampenda na kumheshimu Azziad kwa kuwa na ndoto kubwa na kuonesha ujasiri wa kukimbizana na maisha. Amesisitiza kuwa hatua ya mrembo huyo kupata mkopo wa millioni 25 […]

Read More
 Victoria Kimani Asema Ukimya wa Mashabiki Unakatisha Tamaa

Victoria Kimani Asema Ukimya wa Mashabiki Unakatisha Tamaa

Mwanamuziki wa Kenya, Victoria Kimani, ameibua mjadala mtandaoni baada ya kulalamikia zaidi ya watazamaji 25,000 wa Insta Story zake wanaoangalia maudhui yake bila kuonyesha ushirikiano wowote. Kupitia Instastory yake Instagram, Kimani amesema hali hiyo inamfanya ajihisi kupuuzwa licha ya watu wengi kutazama maudhui yake. Ameongeza kuwa hali ya kuwa na watazamaji wengi kimya inamfanya aone […]

Read More
 Terence Creative Afunguka Kuhusu Mapambano Dhidi ya Uraibu

Terence Creative Afunguka Kuhusu Mapambano Dhidi ya Uraibu

Mchekeshaji wa Kenya, Terence Creative, ameweka wazi safari yake ya kupambana na uraibu wa vileo, akifichua jinsi alivyoingia katika wakati mgumu maishani mwake kabla ya kurejea katika mstari sahihi. Akiangazia kipindi hicho kigumu, Terence amesema changamoto za uraibu wa pombe na uvutaji sigara zilimpelekea kupoteza mwelekeo na matumaini, lakini hakubaki peke yake. Amemshukuru mkewe Milly […]

Read More
 Bifu Laibuka Kati ya Toxic Lyrikali na Tipsy Gee Mtandaoni

Bifu Laibuka Kati ya Toxic Lyrikali na Tipsy Gee Mtandaoni

Rapa kutoka Kenya, Toxic Lyrikali, ameonyesha kutoridhishwa na skit iliyosambaa mtandaoni ikimuonesha mwenzake Tipsy Gee akijifananisha kuwa na mafanikio makubwa zaidi. Katika skit hiyo, Tipsy anaonekana akiendesha gari huku waigizaji waliobandikwa majina ya Toxic na Fathermoh wakiendesha bodaboda, jambo lililotafsiriwa kama kejeli kwao. Kupitia Instagram Toxic amechukizwa na kejeli hiyo na kumtaka Tipsy kuacha mbwembwe […]

Read More
 Lutaaya Akanusha Kutelekeza Binti, Atoa Ushahidi wa Malipo ya Ada

Lutaaya Akanusha Kutelekeza Binti, Atoa Ushahidi wa Malipo ya Ada

Mbunge na mwanamuziki wa Uganda, Geoffrey Lutaaya, ameibuka na kujitetea vikali baada ya video ya msichana mwenye umri wa miaka 17, anayejulikana kama Nambatya, kusambaa mtandaoni ikimshutumu kwa kutelekeza majukumu ya kifamilia. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Lutaaya amekanusha madai hayo akionyesha stakabadhi anazodai ni ushahidi wa malipo ya ada kamili kwa ajili […]

Read More
 TikTok Yaanzisha Mfumo wa Kuchangisha Michango kwa Watumiaji

TikTok Yaanzisha Mfumo wa Kuchangisha Michango kwa Watumiaji

TikTok, jukwaa maarufu duniani kwa kushiriki video fupi, limeanzisha mfumo mpya utakaowawezesha watumiaji wake kuchangisha michango moja kwa moja kupitia akaunti zao. Hatua hii inalenga kuwawezesha wabunifu wa maudhui (content creators) kupata usaidizi wa kifedha kutoka kwa mashabiki wao, hasa katika nyakati ambazo wanahitaji msaada au wanapofanya kazi za kijamii na kijamii. Kwa mujibu wa […]

Read More
 Joel Lwaga Asaini Mkataba na Empire Africa

Joel Lwaga Asaini Mkataba na Empire Africa

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania, Joel Lwaga, ametangaza rasmi kusaini mkataba wa usambazaji wa muziki na kampuni kubwa ya kimataifa, Empire Africa. Hatua hii imeonekana kama mwanzo mpya wa ushirikiano wa kibiashara ambao unatarajiwa kupeleka muziki wake katika viwango vya juu zaidi na kumfikisha kwa mashabiki wengi duniani. Kama ishara ya mwanzo wa […]

Read More
 Vera Sidika Amchana Eddie Butita Kuhusu Kauli za Boo Party

Vera Sidika Amchana Eddie Butita Kuhusu Kauli za Boo Party

Socialite wa Kenya Vera Sidika ameonekana kuchukizwa na matamshi ya mchekeshaji Eddie Butita aliyewakosoa wanaume waliohudhuria hafla yake ya hivi karibuni maarufu kama Boo Party. Kupitia video aliyoipakia mitandaoni, Vera amemshutumu Butita kwa kuwa na machungu kwa sababu hakupata mualiko wa kushiriki sherehe hiyo. Amesema hakuna mwanaume timamu ambaye angekataa mwaliko wa hafla kama hiyo, […]

Read More
 Alien Skin Atangaza Kuacha Muziki Kufuatia Kesi ya Mauaji

Alien Skin Atangaza Kuacha Muziki Kufuatia Kesi ya Mauaji

Msanii mwenye utata kutoka Uganda, Alien Skin, amewashangaza mashabiki na wadau wa muziki baada ya kutangaza kujiondoa rasmi kwenye tasnia ya muziki kupitia TikTok Live. Alien Skin, ambaye ni bosi wa Fangone Forest boss, amesema amechoka na upinzani mkubwa anaoupata kutoka kwa wasanii wenzake na hata mashabiki, akifafanua kuwa hali hiyo imemuweka kwenye mawazo na […]

Read More