Msanii Chipukizi Pipi Jojo Kutambulisha EP Mpya Oktoba 9

Msanii Chipukizi Pipi Jojo Kutambulisha EP Mpya Oktoba 9

Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi, Pipi Jojo, ametangaza kuwa ataachia rasmi EP yake mpya Oktoba 9 kwenye majukwaa yote ya kidigitali. Kupitia ujumbe wake, Pipi Jojo ameeleza kuwa alipata nafasi ya kukutana na Chief Godlove Billionaire kwa ajili ya kumsikilizisha kazi zake, ambapo kwa bahati nzuri alikutana pia na gwiji wa muziki wa HipHop nchini […]

Read More
 Polisi Uganda Wakanusha Kumkamata Alien Skin

Polisi Uganda Wakanusha Kumkamata Alien Skin

Polisi nchini Uganda wamekanusha taarifa zilizodai kwamba msanii mwenye utata Alien Skin amekamatwa kwa tuhuma za mauaji. Kupitia msemaji wa Polisi wa Kanda ya Kampala, imeelezwa kwamba msanii huyo hajakamatwa na hayupo mikononi mwao, lakini anasakwa na vyombo vya dola. Polisi wamewataka wananchi kutoa taarifa iwapo kuna mtu yeyote anayefahamu alipo, kwa kuwa msanii huyo […]

Read More
 Lizer Classic Awataka Wasanii Kuchukua Hatua Dhidi ya Wanaoripoti Kazi Zao YouTube

Lizer Classic Awataka Wasanii Kuchukua Hatua Dhidi ya Wanaoripoti Kazi Zao YouTube

Prodyuza mahiri wa muziki nchini Tanzania, Lizer Classic, ameendelea kueleza hasira zake dhidi ya baadhi ya wasanii chipukizi (underground) ambao wamekuwa wakiripoti kazi za wasanii wakubwa kwenye YouTube kwa lengo la kujipatia umaarufu na fedha kupitia skendo hizo. Kupitia Instagram, Lizer ametoa mfano wa kisa kilichomhusu msanii nyota Nandy, ambapo moja ya kazi zake iliripotiwa […]

Read More
 Nandy Asema Ana Nyota ya Ajabu Kwenye Muziki wa Bongofleva

Nandy Asema Ana Nyota ya Ajabu Kwenye Muziki wa Bongofleva

Mwanamuziki kutoka Tanzania, Nandy, amejivunia safari yake ya takribani miaka 10 katika tasnia ya muziki wa Bongofleva, akisema kuwa kila wimbo anaouachia unakuwa hit na kupokelewa kwa kishindo na mashabiki. Kupitia Instastory, Hit maker huyo wa “Sweety” amewashukuru mashabiki wake kwa kumuunga mkono tangu alipoanza rasmi safari yake ya muziki, akisisitiza kuwa bila wao asingefika […]

Read More
 Arrow Bwoy Aitetea Taasisi ya Ndoa

Arrow Bwoy Aitetea Taasisi ya Ndoa

Msanii kutoka Kenya, Arrow Bwoy, ameingilia kati mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu mada ya “Marriage hubamba mafala” iliyoanzishwa na socialite Chebet Ronoh. Chebet alizua gumzo kubwa akidai kwamba ndoa ni ya mafala (wajinga), kauli ambayo imewagawa mashabiki mtandaoni. Wengi wamekuwa wakitoa maoni tofauti, huku baadhi wakiunga mkono na wengine kupinga vikali. Akizungumza kwa mtazamo wake, Arrow […]

Read More
 Samsung Yatoa Uhuru Mpya kwa Watumiaji Kupitia Quick Settings

Samsung Yatoa Uhuru Mpya kwa Watumiaji Kupitia Quick Settings

Kampuni ya teknolojia ya Samsung imeanza kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa uendeshaji, ikilenga kutoa uhuru zaidi kwa watumiaji kupitia toleo jipya la One UI 8.5. Mabadiliko haya makuu yanahusu sehemu ya Quick Settings na Lock Screen, ambazo sasa zitakuwa completely customizable, hatua inayoashiria ushindani wa moja kwa moja na mfumo wa iOS wa […]

Read More
 Bien Azindua Rasmi Shindano la Open Verse Duniani

Bien Azindua Rasmi Shindano la Open Verse Duniani

Msanii nyota wa Kenya, Bien, ameanzisha rasmi shindano la Open Verse Challenge kupitia wimbo wake maarufu “All My Enemies Are Suffering.” Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bien ametoa mwaliko kwa wasanii na wabunifu kutoka kote duniani kushiriki kwa kurekodi remix ya wimbo huo na kuonyesha ubunifu wao. Mshindi ataondoka na zawadi ya dola 1,000 za […]

Read More
 Sakata la Hakimiliki Lavuruga Kazi Mpya ya Nandy na Jux

Sakata la Hakimiliki Lavuruga Kazi Mpya ya Nandy na Jux

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy, ameonyesha kuchukizwa na hatua ya msanii chipukizi anayefahamika kama Bride Vuitton, ambaye amewasilisha maombi YouTube kutaka wimbo wake mpya “Sweety” aliomshirikisha Jux kushushwa kwa madai ya hakimiliki {copyright} Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nandy ameeleza kuwa kufika hatua aliyo nayo sasa kumemgharimu jitihada na uwekezaji mkubwa, jambo ambalo […]

Read More
 Okello Max Akiri Kudanganya Kuhusu Kuwa na Watoto

Okello Max Akiri Kudanganya Kuhusu Kuwa na Watoto

Msanii wa R&B na Afrobeat kutoka Kenya, Okello Max, amekiri kudanganya kuhusu kuwa na watoto, jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likiwachanganya mashabiki wake. Katika mahojiano na mtangazaji Shiksha, Okello Max amefafanua kuwa watoto waliowahi kuonekana naye mara kwa mara si wake, bali ni ndugu wa mchumba wake. Hitmaker huyo wa Taya, ameeleza kuwa shinikizo […]

Read More