Firefox Yazindua Mfumo Mpya wa Kuficha IP Kama Safari ya Apple

Firefox Yazindua Mfumo Mpya wa Kuficha IP Kama Safari ya Apple

Kampuni ya Mozilla, watengenezaji wa kivinjari cha Firefox, imepiga hatua kubwa katika kulinda faragha ya watumiaji wake kwa kuzindua mfumo mpya unaoitwa Firefox VPN, unaolenga kuficha anuani ya IP (IP address) na kulinda taarifa binafsi za watumiaji wanapoperuzi mtandaoni. Mfumo huu mpya unaiga dhana inayofanana na Private Relay ya Apple, ambayo ipo kwenye kivinjari cha […]

Read More
 Mr. Blue Asema Sifa Zilimpoteza Kwenye Muziki, Ajuta Kuwadharau Watu

Mr. Blue Asema Sifa Zilimpoteza Kwenye Muziki, Ajuta Kuwadharau Watu

Rapa kutoka Tanzania Mr. Blue amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu changamoto zilizomfanya apotee kwenye muziki, akisema sifa na majivuno vilimchanganya na kumfanya awadharau watu waliokuwa sehemu ya mafanikio yake. Kwenye mkao na waandishi wa habari, Blue amesema kuwa kipindi anaanza kupata umaarufu, alijikuta akibadilika tabia na kuanza kujiona amefika, hali iliyomfanya asipokee simu, asiwasalimie […]

Read More
 Zari Hassan Afichua Anavyosumbuliwa na Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi Mtandaoni

Zari Hassan Afichua Anavyosumbuliwa na Wanaume Wanaomtaka Kimapenzi Mtandaoni

Mjasiriamali na socialite Zari Hassan amefichua kuwa kisanduku chake cha ujumbe mtandaoni kimefurika na jumbe kutoka kwa wanaume wanaomfuata kwa nia ya kimapenzi. Kupitia mitandao yake ya kijamii, mama huyo wa watoto watano ameonyesha kuchoshwa na wingi wa wanaume wanaomwandikia kwa sababu zisizo sahihi, akisema wengi wao hawana nia ya dhati bali wanatafuta njia ya […]

Read More
 Daddy Owen Atoa Kauli Kali Dhidi ya Wanaodhihaki Watu Wenye Ulemavu

Daddy Owen Atoa Kauli Kali Dhidi ya Wanaodhihaki Watu Wenye Ulemavu

Msanii na mwanaharakati wa watu wenye ulemavu, Daddy Owen, ameonyesha masikitiko makubwa kufuatia tabia ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii kutumia majukwaa yao kuwakejeli na kuwadharau watu wenye ulemavu. Kupitia ujumbe wake, Daddy Owen amesema amesikitishwa sana na watu wanaotumia mitandao vibaya kwa kudhalilisha wengine kutokana na hali zao za ulemavu, akisema vitendo […]

Read More
 Akothee Akosoa Vikali Wanaodhihaki Maumbile ya Raila Odinga Junior

Akothee Akosoa Vikali Wanaodhihaki Maumbile ya Raila Odinga Junior

Msanii kutoka Kenya, Akothee, ameonyesha masikitiko makubwa kufuatia dhihaka zinazomlenga Raila Odinga Junior, mwana wa hayati Raila Amolo Odinga, baada ya picha na video kusambaa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu wakicheka maumbile yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Akothee amelaani vikali tabia ya baadhi ya watu kutumia mitandao vibaya kwa kumkejeli Junior kutokana na maumbile […]

Read More
 Khaligraph Jones Atoa Heshima kwa Hayati Raila Odinga kwa Kuweka Picha zake Ukutani

Khaligraph Jones Atoa Heshima kwa Hayati Raila Odinga kwa Kuweka Picha zake Ukutani

Rapper Khaligraph Jones ameonyesha heshima yake kwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani, hayati Raila Amolo Odinga, kwa kufichua michoro kadhaa (murals) ya kiongozi huyo zilizowekwa ndani ya jumba lake. Katika video iliyosambaa mitandaoni, Khaligraph anaonekana akitembea ndani ya nyumba yake ya kifahari, akionyesha kuta zilizopambwa kwa picha kubwa za Raila Odinga katika mitindo tofauti ya […]

Read More
 Reuben Kigame na KHRC washtaki serikali kuhusu Sheria ya Marekebisho ya Uhalifu wa Mtandaoni 2024

Reuben Kigame na KHRC washtaki serikali kuhusu Sheria ya Marekebisho ya Uhalifu wa Mtandaoni 2024

Msanii wa muziki wa injili na mtetezi wa haki za binadamu, Reuben Kigame, ameungana na Tume ya Haki za Binadamu ya Kenya (KHRC) kuwasilisha kesi ya kikatiba kupinga Sheria ya Marekebisho ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni (Computer Misuse and Cybercrimes Amendment Act), 2024. Kigame na KHRC wanapinga sheria hiyo iliyotiwa saini […]

Read More
 Amber Ray Aunga mkono Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni

Amber Ray Aunga mkono Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni

Socialite maarufu nchini Kenya, Amber Ray, ameonyesha wazi kuunga mkono kupitishwa kwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uhalifu wa Mtandaoni (Cybercrime Amendment Bill), akisisitiza kuwa uhuru wa kujieleza haupaswi kutumiwa kama kisingizio cha ukatili, uchochezi au kukosa heshima mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Amber Ray amesema kuwa anaamini sheria hiyo itasaidia […]

Read More