DAVID LUTALO AIPIGA CHINI SHOW YAKE YA PASAKA KISA BEBE COOL NA JOSE CHAMELEONE
Nyota wa muziki nchini Uganda David Lutalo amegonga vichwa vya habari nchini humo mara baada ya kufuta performance yake ya Siku Kuu ya Pasaka huko Freedom City.. Kupitia mitandao yake ya kijamii David Lutalo ameandika ujumbe wa kuwaomba radhi mashaiki zake kwa hatua ya kujiondoa kwenye tamasha hilo kutokana na mambo ambayo yapo nje ya […]
Read More