STAA WA MUZIKI NCHINI KENYA BAHATI AMZAWADI MKE WAKE DIANA B MJENGO WA KIFAHARI
Upendo wa Staa wa muziki nchini Bahati kwa baby mama wake Diana B unazidi kuongezeka kila uchao. Baada ya kumnunulia gari aina Prado TX kama zawadi ya siku ya wapendanao duniani amekuja na suprise nyingine kwa mke wake huyo. Kupitia ukurasa wake wa instagram hitmaker huyo wa ngoma ya “Adhiambo” amepost mjengo wa kifahari ambao […]
Read More