BARNABA & ZUCHU WAMJIBU ERICO OMONDI ALIYEDAI BONGOFLEVA IMEULIWA NA AMAPIANO

BARNABA & ZUCHU WAMJIBU ERICO OMONDI ALIYEDAI BONGOFLEVA IMEULIWA NA AMAPIANO

Baada ya msanii wa Comedy nchini Eric Omondi kudai kuwa Amapiano imeuwa muziki wa Bongo Fleva,wasanii wa Tanzania Zuchu na Barnaba Classic wameibuka na kupinga hilo. Wasanii hao wamesema kwamba wanachokifanya kwa sasa ni kutaka kukimbizana na nyakati zilizopo kwani kuwa kwenye kiwanda cha muziki ambacho kina ushindani kunahitaji msaani kuwa na ubunifu Barnaba kupitia […]

Read More
 WILLY PAUL ATANGAZA KUWANIA UBUNGE MATHARE MWAKA 2022

WILLY PAUL ATANGAZA KUWANIA UBUNGE MATHARE MWAKA 2022

Mwanamuziki nyota nchini Willy Paul ametia nia ya kugombea kiti cha ubunge eneo la Mathare  kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Hitmaker huyo “My Woman” ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwwa kuandika ujumbe unaosomeka “Are you ready Mathare? Lets bring that change #Levels, ujumbe unaowataka wakaazi wa Mathare kumuunga mkono kwenye […]

Read More
 ERIC OMONDI AWATOLEA UVIVU WASANII TANZANIA, ADAI MUZIKI WA BONGOFLEVA UMEKUFA

ERIC OMONDI AWATOLEA UVIVU WASANII TANZANIA, ADAI MUZIKI WA BONGOFLEVA UMEKUFA

Baada ya kuuzungumzia sana muziki wa Kenya kiasi cha kukamatwa na polisi , akidai kuwa muziki Kenya unakufa na wasanii wake hawajitumi, mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi ameugeukia muziki wa Bongofleva na wasanii wake akidai muziki wa amapiano unaua utambulisho wa muziki wa Bongofleva kutoka Tanzania. Kupitia ukurasa wake wa Instagram mchekeshaji huyo mwenye zaidi […]

Read More
 HARMONIZE NA OTILE BROWN WAINGIA LOCATION KUTAYARISHA VIDEO YA WIMBO WAO

HARMONIZE NA OTILE BROWN WAINGIA LOCATION KUTAYARISHA VIDEO YA WIMBO WAO

Msanii wa Bongofleva Harmonize na Otile Brown wameingia location kuitayarisha video ya wimbo wao ambao unahisiwa huenda ukapatikana kwenye EP yao ya pamoja. Harmonize amethibitisha hilo kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram kwa kushare misururu ya picha wakiwa chimbo na mkali huyo kutoka Kenya jambo ambalo limewaaminisha mashabiki muziki mzuri Afrika Mashariki kuwa wawili […]

Read More
 DADDY ANDRE AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA VIDEO VIXEN BOBO SHAN

DADDY ANDRE AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA VIDEO VIXEN BOBO SHAN

Msanii na prodyuza wa muziki kutoka nchini Uganda Daddy Andre amekanusha uvumi unaotembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa anatoka kimapenzi na video vixen Bobo Shan ambaye anadaiwa ana uja uzito wake . Akiwa kwenye moja ya Interview Daddy Andrea  amesema uvumi huo hauna ukweli wowote ikizingatiwa kuwa hamfahamu kabisa mrembo huyo. Hitmaker “Omwana Bandi” amesema […]

Read More
 WIZ KHALIFA AWAPA SOMO MARAPA MAREKANI KUFUATIA MAUJI YA KIHOLELA

WIZ KHALIFA AWAPA SOMO MARAPA MAREKANI KUFUATIA MAUJI YA KIHOLELA

Rapa kutoka nchini Marekani Wiz Khalifa ametaka heshima iwepo kwenye muziki wa Hiphop ambapo amewaonya Mastaa wenzake kujitenga na vurugu kuelekea Mwaka mpya kutokana na vifo vya maRapa  Drakeo The Ruler na Young dolph Wiz Khalifa ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake Wa Twitter kwa kuandika ujumbe unaosomeka  “Kama waburudishaji tujaribu kitu kipya mwaka ujao. […]

Read More
 HUDDAH MONROE AWACHANA VILIVYO WANAUME WANAOTOKA KIMAPENZI NA WANAWAKE WENGI

HUDDAH MONROE AWACHANA VILIVYO WANAUME WANAOTOKA KIMAPENZI NA WANAWAKE WENGI

Mwanasosholaiti maarufu nchini Kenya, Huddah Monroe ameamua kuwachana wanaume ambao hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Huddah amedai kwamba hawezi kufanya mapenzi na mwanamume ambaye ana mpenzi mwingine kwani kufanya hivyo ni kujidharau. “Siwezi kufanya ngono na mwanaume ambaye ana mwanamke au mpenzi nyumbani kwake, siwezi fikiria kutoheshimika huko, wengi […]

Read More