ERIC OMONDI AMJIBU ZUCHU BAADA YA KUPINGA KAULI YAKE KUWA MUZIKI WA BONGOFLEVA UMEKUFA

ERIC OMONDI AMJIBU ZUCHU BAADA YA KUPINGA KAULI YAKE KUWA MUZIKI WA BONGOFLEVA UMEKUFA

Mchekeshaji Erick Omondi amejitokeza na kutetea kauli yake kwamba muziki wa Bongofleva umekufa kufuatia baadhi ya wasanii wake kufanya Amapiano. Kupitia mtandao wake wa Instagram, Omondi amemjibu Zuchu ambaye hakukubaliana na kauli hiyo akidai kwamba wanamuziki wa Tanzania wameamua kukumbatia muziki wa Amapiano ambao utawasaidia kujulikana zaidi. “Bongofleva haiwezi kufa, wasanii wanatoka nje ya eneo […]

Read More
 ALI KIBA ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA MWAKA WA 2022

ALI KIBA ADOKEZA UJIO WA ALBUM YAKE MPYA MWAKA WA 2022

Hitmaker wa ngoma ya Utu’ msanii Ali Kiba amegusia uwezekano wa kuachia album yake nyingine ifikapo mwakani 2022. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Msanii huyo wa Bongofleva amesema anafikiria kuachia album nyingine mwaka ujao hii ni baada ya album yake mpya Only One King aliyoiachia mwaka huu kufanya vizur kupitia digital platforms mbali mbali. “Thinking […]

Read More
 KANYE WEST ANUNUA MJENGO KARIBU NA NYUMBA YA KIM KARDASHIAN

KANYE WEST ANUNUA MJENGO KARIBU NA NYUMBA YA KIM KARDASHIAN

Staa wa muziki wa Hiphop kutoka nchini Marekani Kanye West ni kama amekubali yaishe kuhusu sakata la talaka na Kim Kardashian, ameona hawezi kumrudisha na sasa ameamua kumsogelea karibu ili apate nafasi ya kushirikiana naye kwenye malezi ya watoto wao. Tovuti ya Daily Mail imeripoti kwamba Kanye West amenunua nyumba yenye thamani ya dolla millioni […]

Read More
 ASLAY ATANGAZA KUJA NA UJIO MPYA MWAKA WA 2022

ASLAY ATANGAZA KUJA NA UJIO MPYA MWAKA WA 2022

Baada ya kipindi cha miezi 11 kupita bila kuachia ngoma yoyote, msanii wa Bongofleva Aslay ameweka wazi kuwa ana njaa ya kufa mtu. Kupitia ukurasa wake wa instagram Hitmakr huyo wa “Nyang’anya” ameweka video iliyoambatana na caption “I’m Hungry AF” Huenda tafsiri yake ni ujio mkubwa wa kazi zake kuanzia mwaka 2022 ambapo hivi karibuni […]

Read More
 IYANII ATHIBITISHA UJIO WA NGOMA YAKE MPYA NA SIZE 8

IYANII ATHIBITISHA UJIO WA NGOMA YAKE MPYA NA SIZE 8

Hitmaker wa “Pombe” msanii Iyanii ametangaza ujio wa ngoma yake mpya ambayo amemshirisha mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Size 8. Iyanii amethibitisha hilo kupitia instastory ysake kwenyemtandao wa instagram kwa video clip fupi akiwa na Size 8 kwenye mazingira ya studio yenye caption inayoashiria kuwa kuna uwezekano wa Iyanii kufanya wimbo wa pamoja na […]

Read More
 WILLY PAUL ASHANGAZWA NA VIEWS ZAKE KUSHUKA YOUTUBE

WILLY PAUL ASHANGAZWA NA VIEWS ZAKE KUSHUKA YOUTUBE

Staa wa muziki nchini Willy Paul amefunguka na kuzungumzia ishu ya kupungua kwa idadi ya viewers wanaotazama video za nyimbo zake kwenye mtandao wa Youtube. Kupitia  Youtube live Willy Paul amedai kuwa kuna mchezo mchafu ambao unaendelea kwenye channel yake ya YouTube  ambapo amelalamika kuwa views za video za nyimbo zake zinapanda na kushuka. Hitmaker […]

Read More
 MWANAMUZIKI DR. BITONE AAPA KAMWE HATOREJEA UGANDA

MWANAMUZIKI DR. BITONE AAPA KAMWE HATOREJEA UGANDA

Msanii  anayesusua kimuziki nchini Uganda Dr. Bitone ameapa kutorejea nchini humo baada ya kusafiri nchini Uingereza wiki iliyopita kwa ajili ya onyesho la muziki. Kupitia video aliyoiweka kwenye mitandao yake ya kijamii Dr. Bitone amesikika akisema “Kila kitu hapa ni kizuri. Ninawezaje kurudi Uganda? Samahani watu wangu wa Uganda,” Ujumbe huo umetafsiriwa na wadau wa […]

Read More