EDDY KENZO AKOSOA JANZI AWARDS, ATAKA UWAZI KWENYE TUZO ZA MUZIKI UGANDA

EDDY KENZO AKOSOA JANZI AWARDS, ATAKA UWAZI KWENYE TUZO ZA MUZIKI UGANDA

Nyota wa muziki nchini Uganda Eddy Kenzo amejiunga na orodha ya mastaa ambao wanakosoa mchakato uliotumika kuaandaa tuzo za Janzi Awards zilizokamilika majuzi nchini humo. Katika mkao na wanahabari Eddy kenzo  amewataka wanahabari kuwaweka waandaji wa tuzo za muziki nchini uganda kwenye mizani kama njia ya kutatua baadhi ya changamoto zinazoikabili tasnia ya muziki nchini […]

Read More
 MASAUTI AFUNGUKA KUFUKUZWA NA PROMOTA JUKWAANI MOMBASA

MASAUTI AFUNGUKA KUFUKUZWA NA PROMOTA JUKWAANI MOMBASA

Staa wa muziki nchini Masauti amevunja kimya chake baada ya kudaiwa kuwa alifukuzwa jukwaani kwenye tamasha la muziki lilofanyika Mombasa wikiendi iliyopita. Kupitia waraka aliyochapisha kwenye ukurasa wake wa instagram Masauti amesema masaibu yake yalitokana na promota wa tamasha hilo huku akiwataka mashabiki kutomulaumu mbosso kwani hakuwa mhusika mkuu wa show hiyo. “Sijataka kuongelea issue […]

Read More
 WIZKID AMZAWADI GARI MENEJA WAKE SUNDAY ARE

WIZKID AMZAWADI GARI MENEJA WAKE SUNDAY ARE

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Wizkid ameufunga mwaka 2021 kwa kujiongezea baraka, amemfanyia surprise meneja wake wa muda mrefu Sunday Are kwa kumpatia zawadi ya gari mpya aina ya Prado. Meneja huyo ameshare video kwenye Instagram kuionesha gari hiyo, Toyota Land Cruiser SUV na kumshukuru Hitmaker huyo wa Essence. Thamani ya gari hiyo ni […]

Read More
 WAHU AKOSHWA NA SHABIKI YAKE MLEMAVU,ACHANGISHA SHILLINGI 180,000 KUMSAIDIA

WAHU AKOSHWA NA SHABIKI YAKE MLEMAVU,ACHANGISHA SHILLINGI 180,000 KUMSAIDIA

Msanii wa muziki nchini Wahu Kagwi amefanikiwa kuchangisha takriban shillingi elfu 180 kwa ajili ya shabiki yake mmoja anayefahamika kama Eunice. Eunice ambaye ana changamoto ya ulemavu alikuwa anahitaji kiti cha magurudumu ambacho kinatumia umeme kufanikisha matembezi yake. Wahu alivutiwa na Shabiki huyo aliposhiriki shindano la tiktok la wimbo wake wa back it up, wimbo […]

Read More
 NYOTA NDOGO AELEZA ANAVYOITWA SURA MBAYA NA WANAUME MITANDAONI

NYOTA NDOGO AELEZA ANAVYOITWA SURA MBAYA NA WANAUME MITANDAONI

Msanii mkongwe kwenye muziki  nchini Nyota Ndogo, amefunguka namna ambavyo amekua akishambuliwa kwa maneno ya kejeli mtandaoni na baadhi ya wanaume kwa kumuita sura mbaya. Nyota Ndogo kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka namna amekuwa akipokea kejeli haswa kutoka kwa wanaume, baada ya kufikisha umri wa miaka 40 mwaka huu. “Sasa kuitwa mazee na sura […]

Read More
 YOUNG DEE AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

YOUNG DEE AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Rapa kutoka nchini Tanzania Young Dee ameachia rasmi album yake mpya inayokwenda kwa Nyanguva. Young D ambaye ni CEO wa Kampuni ya The Dream City, inayojihusisha na usimamizi wa kazi zake,  amesema  album hiyo imebeba jumla ya mikwaju 10 ya moto huku ikiwa na kolabo 5 pekee. Young D amewashirikisha wasanii mbali mbali kama rapa […]

Read More
 SPICE DIANA AKANUSHA BIFU LAKE NA MSANII MWENZAKE AZAWI

SPICE DIANA AKANUSHA BIFU LAKE NA MSANII MWENZAKE AZAWI

Nyota wa muziki kutoka nchini Uganda Spice Diana kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu suala la kuwa kwenye ugomvi na msanii mwenzake Azawi ambaye juzi kati ameshinda tuzo ya Janzi awards mwaka wa 2021. Hitmaker huyo wa “Upendo” amesema hana ugomvi na Azawi ambaye alishinda tuzo ya msanii bora wa kike kwenye tuzo za  Janzi […]

Read More
 YG AHUSISHWA NA MAUJI YA RAPA DRAKEO THE RULER

YG AHUSISHWA NA MAUJI YA RAPA DRAKEO THE RULER

Rapa kutoka nchini Marekani YG amehusishwa na mauaji ya rapa Drakeo the Ruler ambaye aliuawa kwa kuchomwa kisu akiwa nyuma ya jukwaa kwenye onesho lililofanyika mjini Los Angeles, Disemba 18 mwaka huu. Polisi bado hawajamtia hatiani mtu yeyote lakini uvumi unaosambaa mitandaoni ni kwamba YG na genge lake wamehusika na mauaji hayo. Kwenye mahojiano na […]

Read More