MEGAN THEE STALLION ALAMBA DILI LA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA NETFLIX

MEGAN THEE STALLION ALAMBA DILI LA USHIRIKIANO NA KAMPUNI YA NETFLIX

Rapa wa kike kutoka nchini Marekani Megan Thee Stallion ametangaza kusaini dili nono la ushirikiano na kampuni ya Netflix. Megan Thee Stallion amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “Siku zote nimekuwa na hamu ya kusimulia hadithi za kibunifu na za kuburudisha, hivyo nimefurahishwa sana na ushirikiano huu na Netflix. Kujitupa kwenye utayarishaji […]

Read More
 IRENE NTALE AKERWA NA TABIA YA VIJANA WADOGO KUMTAKA KIMAPENZI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

IRENE NTALE AKERWA NA TABIA YA VIJANA WADOGO KUMTAKA KIMAPENZI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII

Staa wa muziki nchini Uganda Irene Ntale amekuwa akisema kwamba yupo tayari kwa ajili ya ndoa na iwapo hilo litatimia anataka kuolewa na mwanaume wa ndoto yake. Lakini inaonekana mrembo huyo anafuatwa na vijana wadogo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Irene Ntale amesema hayuko tayari kuchumbiana na vijana wadogo ambapo ametoa onyo kwao kuacha tabia […]

Read More
 DADDY OWEN AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA BRENDA WAIRIMU

DADDY OWEN AKANUSHA TETESI ZA KUTOKA KIMAPENZI NA BRENDA WAIRIMU

Staa wa muziki nchini Daddy Owen amevunja kimya chake juu ya tuhuma za kumtaka kimapenzi mwiigizaji Brenda Wairimu kupitia mitandao yake ya kijamiii. Kupitia ukurasa wake wa instagram Daddy Owen ameonyesha kufurahishwa na namna watu walifsiri ujumbe wake kwenda kwa brenda wairimu huku akisema kwamba hana uhusiano wowote wa kimapenzi na mrembo huyo. Hitmaker “Vanity” […]

Read More
 NADIA MUKAMI AMCHANA ERIC OMONDI, ADAI ANATUMIA MUZIKI WA KENYA KUJITAFUTIA UMAARUFU

NADIA MUKAMI AMCHANA ERIC OMONDI, ADAI ANATUMIA MUZIKI WA KENYA KUJITAFUTIA UMAARUFU

Staa wa muziki nchini Nadia Mukami ametolea uvivu Eric Omondi baada ya mchekeshaji huyo kudai wasanii wa kenya wataendelea kudharauliwa hadi pale watakapoacha tamaa na uzembe kwenye kazi zao za muziki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amemtaka Omondi aache suala la kujipendekeza katika ishu ya kupigania mabadiliko kwenye muziki wakenya ikizingatiwa kuwa ni suala mtambuka […]

Read More
 CHRIS BROWN ATANGAZA UJIO MPYA MWAKA WA 2022

CHRIS BROWN ATANGAZA UJIO MPYA MWAKA WA 2022

Staa wa muziki nchini Marekani, Christopher Maurice Brown maarufu Chris Brown ametangaza ujio wa kazi zake mpya mwakani. Kupitia Insta Story kwenye mtandao wa Instagram Chris Brown ameandika ‘BREEZY ERA STARTS IN JANUARY’, ujumbe uliotafsiriwa kama tangazo la ujio wa album yake ya 10 ya Breezy ambayo inadaiwa kuwa itatoka Januari mwaka wa 2022. Album […]

Read More
 MIMI MARS AACHIA RASMI CHRISTMASS EP

MIMI MARS AACHIA RASMI CHRISTMASS EP

Msanii wa muziki wa Bongofleva kutoka Mdee Music, Mimi Mars ameachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Christmass. Christmass ameamua kuwa surprise mashabiki zake kwa kuachia EP hiyo mpya yenye nyimbo 4 za moto ambazo ni mahususi kwa ajili ya sikukuu ya Krismasi. Christmass Ep ina nyimbo kama Falalala, Usiku wa Nuru, Holy Day,Christmas […]

Read More
 TIKTOK KUJA NA SOFTWARE MAALUM YA KURUSHA LIVE EVENTS KUPITIA KOMPYUTA

TIKTOK KUJA NA SOFTWARE MAALUM YA KURUSHA LIVE EVENTS KUPITIA KOMPYUTA

TikTok inafanya majaribio ya software maalum ya Desktops (Computers) ambayo itawezesha watumiaji kurusha LIVE Events moja kwa moja katika Desktops. TikTok Live Studio itakuwa ni maalum kwa matumizi ya Live Streaming zote za TikTok na watumiaji wataweza kuitumia katika kurusha matukio ya Live kutoka katika Computer kwenda katika simu na platform yote ya TikTok. Wakati […]

Read More