KANYE WEST ADAI MUNGU ATAMRUDISHA MKEWE KIM KARDASHIAN

KANYE WEST ADAI MUNGU ATAMRUDISHA MKEWE KIM KARDASHIAN

Rapa kutoka Marekani Kanye West ‘Ye’ anaamini kwamba aliyewahi kuwa mke wake mwanamama Kim Kardashian, Mungu atatenda miujiza na kuwarudisha kuwa pamoja. Kanye West amefunguka hayo alipokuwa akitoa misaada ya chakula kwa watu elfu 1 wenye uhitaji huko Jijini Los Angeles , ambapo amefunguka maneno ya busara pamoja na ya Imani ya kidini na kisha […]

Read More
 WILLY PAUL AACHIA RASMI ALBUM YAKE THE AFRICAN EXPERIENCE

WILLY PAUL AACHIA RASMI ALBUM YAKE THE AFRICAN EXPERIENCE

Hatimaye nyota wa muziki nchini Willy Paul ameachia rasmi album yake mpya aliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki zake. Hitmaker huyo  “Lenga” amewabarki mashabiki zake na  “The African Experience” album ambayo ina jumla ya nyimbo 17, ikiwa na kolabo 5 pekee kutoka kwa wakali kama Juma Jux, Eddy Kenzo,Daphne,Fik Fameica na Kelly Khumalo. Album hiyo kwa sasa […]

Read More
 OMMY DIMPOZ ADOKEZA UJIO WA KOLABO YAKE NA FALLY IPUPA

OMMY DIMPOZ ADOKEZA UJIO WA KOLABO YAKE NA FALLY IPUPA

Tegemea collabo nyingine ambayo inamuhusisha mkali wa dance kutoka Congo Fally Ipupa na mwanamuziki Ommy Dimpoz baada ya wawili hao kuingia studio huko jijini Paris Ufaransa. Dimpoz ameshare taarifa hiyo kupitia Instagram page yake kwa kuwataka mashabiki kukaa tayari kwa ajili ya wimbo huo ambao huenda ukatoka hivi karibuni. Katika post zake za hivi karibuni […]

Read More
 WHATSAPP KUWEKA UWEZO WA KUTENGENEZA STICKERS

WHATSAPP KUWEKA UWEZO WA KUTENGENEZA STICKERS

WhatsApp inaweka uwezo wa kutengeneza stickers katika app ya Android na iOS; na pia katika WhatsApp PC na WhatsApp Web. Watumiaji wa WhatsApp watakuwa na uwezo wa kutengeneza stickers moja kwa moja katika app ya WhatsApp. Hii itapunguza usumbufu wa kutumia app za kutengeneza stickers ambazo nyingine zimekuwa zikihitaji subscriptions na charges za kupata premium […]

Read More
 SHOW YA DRAKE & KANYE WEST KIINGILIO SHILLINGI 22,000-56,000

SHOW YA DRAKE & KANYE WEST KIINGILIO SHILLINGI 22,000-56,000

Mashabiki wa muziki nchini Marekani wamelia juu ya bei kiingilio cha show ya Drake na Kanye West. Kupitia mitandao ya kijamii mashabiki wamelalamikia kuwa kiingilio ni kikubwa sana tofauti hata na jina la show hiyo ambayo inaitwa Free Larry Hoover. Kanye West na Drake wanatarajia kupanda jukwaani kufanya show maalum yenye mlengo wa kumnasua kiongozi […]

Read More
 TIP SWIZZY AGOMA KUFANYA KOLABO NA WASANII WENZAKE

TIP SWIZZY AGOMA KUFANYA KOLABO NA WASANII WENZAKE

Msanii anayesuasua kwenye muziki nchini Uganda Tip Swizzy hataki tena kufanya kolabo na wasanii wengine baada ya kutimuliwa kwenye lebo ya muziki ya Big Talent Entertainment inayomilikiwa na Eddy Kenzo. Msanii  huyo amesema  aliwekeza miaka yake ya ujana kufanya kolabo na wasanii wenzake lakini mpaka sasa hazijamsaidia. Tip swizzy amedai hapokei tena mirahaba kutoka kwa […]

Read More
 WILLY PAUL AMVUA NGUO SANAIPEI TANDE

WILLY PAUL AMVUA NGUO SANAIPEI TANDE

Nyota wa muziki nchini Willy Paul amemtolea povu zito msanii Sanaipei Tande baada ya mrembo huyo kuzuzia kushiriki kwenye album yake ijayo iitwaýo The African Experience. Sanaipei alidinda kufanya collabo na Willy Paul kwa sababu msanii huyo ana skendo nyingi lakini pia anapenda sana kujihusisha na masuala ya kiki kitu ambacho anadai kuwa hakipendi. Sasa […]

Read More
 KONSHENS AMTOLEA UVIVU ERIC OMONDI

KONSHENS AMTOLEA UVIVU ERIC OMONDI

Kufuatia mjadala ambao anauendeleza mchekeshaji wa Kenya Eric Omondi akipaza sauti juu ya wasanii wa Kenya kutotendewa haki na waandaaji wa matamasha ya muziki, staa wa muziki wa dancehall Konshens ameamua kuuvunja ukimya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Konshens ameonekana kusikitisha na maneno makali ambayo Omondi amekuwa akitoa kwa wasanii wa kigeni kwa kusema kwamba […]

Read More
 RAYVANNY ADOKEZA UJIO WA KOLABO YAKE NA KAYUMBA

RAYVANNY ADOKEZA UJIO WA KOLABO YAKE NA KAYUMBA

Staa wa muziki wa Bongofleva, msanii Rayvanny ambaye aliweka wazi kusaidia wasanii wenye vipaji kutoka ndani na nje ya tanzania, hatimaye ameweza kulitekeleza hilo. Boss huyo wa Next Level Music kupitia insta story yake, ametangaza kukamilika kwa kolabo yake na msanii Kayumba, na ameutaja wimbo huo kuwa wimbo bora Afrika. Kayumba ambaye amekuwa na muendelezo […]

Read More