YOUNG THUG ASEMA ATLANTA NDIO MJI NAMBA 1 KWA HIPHOP
Kwa hapa Kenya miaka kadhaa nyuma uliibuka mjadala wa ni upi mtaa ambao ni kitovu cha Hip Hop. Mtaa wa Dandora na Kariobangi South ilikuwa kwenye ushindani mkubwa. Kwa Marekani swali hilo pia huwa linaulizwa kwa miaka sasa, rapa Young Thug ameibuka na kusema Atlanta ndio mji namba moja kwa Hip Hop. Kwenye mkutano wa […]
Read More