KHALIGRAPH JONES AFUNGUKA KUWAHI KUTAKA KUACHA MUZIKI.

KHALIGRAPH JONES AFUNGUKA KUWAHI KUTAKA KUACHA MUZIKI.

Rapa Khaligraph Jones ametusanua kuhusu changamoto alizokutana  nazo katika safari yake ya muziki ambayo ilimpelekea kutaka kuchukua maamuzi magumu kwenye maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa instagram amepost picha akiwa jukwaani katika chuo kikuu cha St. Pauls limuru mwaka wa 2012 na kusema kwamba mashabiki waliikata perfomance yake na kumtimua jukwaani jambo ambalo lilimfanya kufikiria […]

Read More
 TEKASHI 69 ADUKULIWA AKAUNTI YAKE YA SPOTIFY

TEKASHI 69 ADUKULIWA AKAUNTI YAKE YA SPOTIFY

Akaunti ya Spotify ya Rapa Tekashi 69 kutoka Marekani imedukuliwa (Hacked)  na wadukuzi. Hii imekuja mara baada ya ghafla kubadilishwa kwa Profile Pic (DP) kwenye akaunti yake hiyo na kuwekwa picha ya Rapa Trippie Red na Lil Durk. Sio hayo tu  Bio ya rapa huyo pia imebadilishwa ambapo kwa wale waliofikia akaunti hiyo kwa muda […]

Read More
 STREAMS ZA BOOMPLAY KUHESABIKA BILLBOARD

STREAMS ZA BOOMPLAY KUHESABIKA BILLBOARD

App namba moja ya kupakua na kusikiliza muziki Afrika,Boomplay imefanikiwa kuingiza kazi za wasanii katika chati za Billboard kama sehemu yake ya kuendelea kusaidia tasnia ya muziki wa Afrika kutanua wigo wake kamili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma na Kampuni ya Transsnet Music Limited ambayo ndiyo inayomiliki Programu tumuishi (App) ya Boomplay,  itaanza […]

Read More
 AMBER LULU: NAMTAMANI SANA JUX

AMBER LULU: NAMTAMANI SANA JUX

Msanii wa Bongofleva Amber Lulu amemtaja Juma Jux kuwa ndio mwanaume anayetamani kupata naye mtoto kwa sababu ana akili, yupo smart na atamuongoza vyema lakini pia amekuwa akimfuatilia msanii huyo kwa muda mrefu. Mrembo huyo ambaye anafanya poa na singo yake mpya iitwayo Nimeachika amesema amepanga kuzaa watoto 5 kila mmoja na baba yake sababu […]

Read More
 VERA SIDIKA:NITAZAA KWA UPASUAJI

VERA SIDIKA:NITAZAA KWA UPASUAJI

Socialite  maarufu Afrika Mashariki Vera Sidika amesisitiza kwamba atajifungua kwa njia ya upasuaji na siyo kwa njia ya kawaida kwa sababu anaogopa uchungu wa leba. Vera ambaye anatarajia kujifungua muda wowote anasema kwamba, alifanya uamuzi kuwa atajifungua kwa njia ya upasuaji hata kabla hajapata ujauzito. Mrembo huyo ambaye anatarajia mtoto wake wa kwanza ameapa kwamba […]

Read More
 TWITTER KUWEKA MATANGAZO KATIKA SEHEMU YA REPLIES

TWITTER KUWEKA MATANGAZO KATIKA SEHEMU YA REPLIES

Mtandao wa Twitter umeanza majaribio ya kuweka matangazo katika sehemu ya Replies/comments. Ni style mpya ya kuonyesha matangazo katikati ya comments/replies. Inaonekana matangazo yataonekana sana katika Tweets za watu maarufu na akaunti ambazo zina watu wengi wanaoshiriki katika comments. Bado haijaonekana kama mwenye akaunti atafaidika na matangazo ambayo yataonekana katika Replies za Tweets zake. Tayari […]

Read More
 NOTI FLOW AMTOLEA UVIVU MUSTAFA

NOTI FLOW AMTOLEA UVIVU MUSTAFA

Siku chache baada ya staa wa muziki nchini Colonel Mustafa kudai kwamba alivunja uhusiano wake wa na Noti Flow mara baada ya mrembo huyo kumuibia akaunti yake ya instagram, sasa Noti Flow amejitokeza na kukanusha madai hayo. Akiwa kwenye moja ya interview Noti Flow amesema madai hayo haya msingi wowote kwani ni yeye ndiye alikuwa […]

Read More
 DIAMOND PLATINUMZ APEWA JEZI NA TIMU KUBWA USA

DIAMOND PLATINUMZ APEWA JEZI NA TIMU KUBWA USA

Msanii mwenye tuzo nyingi zaidi Afrika Mashariki na Kati Diamond Platnumz amepewa heshima kubwa na timu ya Mpira wa Marekani inayofahamika kama washington NFL. Diamond amekabidhiwa jezi namba 99 huku ikipambwa na jina lake mgongoni Platnumz. Timu hiyo ambayo inashikilia nafasi ya pili kwenye Ligi ya mpira wa Marekani imechapisha picha hizo za Diamond kwenye […]

Read More
 WILLY PAUL: SIHITAJI SUPPORT YA WASANII WA KENYA KWENYE THE AFRICAN EXPERIENCE ALBUM

WILLY PAUL: SIHITAJI SUPPORT YA WASANII WA KENYA KWENYE THE AFRICAN EXPERIENCE ALBUM

Hitmaker wa Lenga msanii Willy paul ametoa ya moyoni baaada ya baadhi ya wasanii nchini kuzuzia kumpa support kwenye album yake ijayo  iitwayo The African Experience. Kupitia ukurasa wake wa instagram Willy Paul amewatolea uvivu wasanii ambao amewataja kama wanafiki kwa kusema kwamba ahitaji watu wa sampuli hiyo kumuunga mkono wakati huu anajianda kuiachia album […]

Read More
 HITMAKER WA “MAPEPO” VISITA AFILISIKA KIUCHUMI, AOMBA MSAADA KWA WAHISANI.

HITMAKER WA “MAPEPO” VISITA AFILISIKA KIUCHUMI, AOMBA MSAADA KWA WAHISANI.

Msanii tajika nchini Visita ametoa wito kwa wahisani kumsaidia kifedha kwani amefilisika kiuchumi na hana mahala pakuishi. Akiwa kwenye moja ya interview visita amesema kwa sasa anaishi kwenye studio ya kurekodia muziki inayomilikiwa na rafiki yake mmoja. Hitmaker huyo wa Mapepo amesema alifurushwa kwenye  nyumba aliyokuwa akiishi kutokana na malimbikizi ya kodi aliyokuwa akidaiwa. Mwezi […]

Read More