SNOOP DOGG AINGIZA MABILLIONI YA FEDHA KUPITIA KAMPUNI YA BANGI
Licha ya kuwa mtumiaji maarufu, Snoop Dogg ni mwekezaji kwenye biashara ya bangi. Kwa mujibu wa Bloomberg, kampuni ya Dutchie ambayo Snoop amewekeza pesa zake tangu mwaka 2018 imepanda thamani na kufikia takriban shillingi billioni 388. Kampuni hiyo iliyopo Oregon nchini Marekani ilianza kufanya vizuri kifedha miezi saba iliyopita kwa kutajwa kuwa na thamani ya […]
Read More