VIDEO ZA OTILE BROWN ZARUDI YOUTUBE

VIDEO ZA OTILE BROWN ZARUDI YOUTUBE

Hatimaye video za staa wa muziki nchini Otile Brown zimerudi youtube baada ya kuondolewa kwa siku kadhaa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram staa huyo amewajuza mashabiki zake kuwa video hizo zimerudi rasmi baada ya kuondolewa youtube huku akiwashukuru mashabiki wake kwa kumuvumilia yeye pamoja na timu yake wakati walipokuwa wanafuatilia suala la kurejesha nyimbo zake […]

Read More
 INSTAGRAM KULETA FEATURE MAALUM YA KUTOA TAARIFA ZA MATATIZO YA KIUFUNDI YANAYOJITEKEZA

INSTAGRAM KULETA FEATURE MAALUM YA KUTOA TAARIFA ZA MATATIZO YA KIUFUNDI YANAYOJITEKEZA

Kufuatia taharuki ambayo imekuwa ikijitokeza kwa watumiaji pale ambapo mtandao wa Instagram unakuwa umekumbwa na matatizo ya kiufundi, sasa mtandao huo umeanza majaribio ya ‘feature’ mpya ambayo itakuwa ikitoa taarifa pale linapojitokeza tatizo hilo. Taarifa hiyo itakuwa ikitokea kwa mfumo wa notification kwenye ukurasa wa mtumiaji wa mtandao huo kumjulisha kuwa limejitokeza tatizo la kiufundi.

Read More
 OS SSUNA AFUNGUKA SABABU ZA KUBADILI DINI

OS SSUNA AFUNGUKA SABABU ZA KUBADILI DINI

Bosi wa lebo ya muziki ya White House Music Entertainment  Emmanuel Suna maarufu kama Os Suna amefunguka sababu za kubadilisha dini kutoka ukristo kwenda uislam. Akiwa kwenye moja ya interview Suna amesema alipata wito wa kubadili dini kutoka kwa mwenyezi mungu na hakuna jinsi hangezuia jambo hilo kufanyika. Hitmaker huyo wa Siri Gambler amekanusha madai […]

Read More
 HANSTONE AACHIA RASMI THE AMAZING EP

HANSTONE AACHIA RASMI THE AMAZING EP

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  nchini Tanzania Hassan Ramadhani Masanja maarufu kama ‘Hanstone’ ameachia EP yake mpya aliyoipa jina “The Amaizing” yenye jumla ya nyimbo 7. Mkali huyo ambaye alikuwa akihusishwa kuwa ni msanii mpya ajae kutoka lebo ya WCB, ameachia EP hiyo nje ya WCB. “The Amaizing EP” tayari inapatikana kwenye mitandao mbalimbali […]

Read More
 MATATA WAACHIA RASMI UNAWARE EP

MATATA WAACHIA RASMI UNAWARE EP

Kundi la muziki la Matata limeachi rasmi EP yao mpya inayokwenda kwa jina la Unaware. Ep hiyo ina jumla ya mikwaju nne ya moto huku zote zikiwa collabo ambazo wamezifanya na wasanii wa sol generation nviiri the storyteller na Bensoul. Unaware EP ina nyimbo kama Matatu, Pombe na kizungu nyingi, Unaware na tulia nikupange ambapo […]

Read More
 KENRAZY KUACHIA ALBUM YAKE MPYA KESHO

KENRAZY KUACHIA ALBUM YAKE MPYA KESHO

Hatimaye nyota wa muziki nchini Kenrazy ameweka hadharani jina na cover rasmi la album yake mpya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kenrazy ameshare artwork ya album yake mpya ambapo amesema album yake hiyo itaitwa Son of God. Hitmaker huyo wa mbilikimo mkora amesema album yake mpya ina jumla ya mikwaju 20 za moto na itaingia […]

Read More
 JUSTIN BIEBER ATHIBITISHA MPANGO WA KUPATA MTOTO NA MKEWE HAILEY BALDWIN MWAKA HUU.

JUSTIN BIEBER ATHIBITISHA MPANGO WA KUPATA MTOTO NA MKEWE HAILEY BALDWIN MWAKA HUU.

Staa wa muziki wa Pop duniani Justin Bieber anataka mtoto sasa, amefunguka hadharani.   Kwenye Documentary mpya (Justin Bieber: Our World) iliyoruka kupitia Amazon Prime, Justin Bieber amemwambia mkewe Hailey Baldwin kwamba yupo tayari kuanzisha familia ambapo ataanza rasmi mchakato wa kumpa ujauzito mwaka huu.   “Nia yangu kwa mwaka 2021 ni kuendelea kuweka malengo […]

Read More