SAUTI SOL MBIONI KUJA NA ALBUM MPYA
Kundi la muziki nchini sauti sol wametangaza mwezi ambao wataichia album yao ya sita tangu waanze safari yao ya muziki. Kupitia barua ya wazi waliyoishare kwenye ukurasa wao wa instagram sauti sol wamesema album yao mpya itaingia sokoni mwezi mei mwaka wa 2022. Wakali hao wa ngoma ya Suzzana wamesema kabla ya kuachia album yao […]
Read More