Diamond Platnumz Awajibu Wakosoaji kwa Begi Lililojaa Dola za Kimarekani

Diamond Platnumz Awajibu Wakosoaji kwa Begi Lililojaa Dola za Kimarekani

Msanii nyota Barani Afrika, Diamond Platnumz, amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya hatua yake ya kuonekana kuwajibu wale waliodai kususia muziki wake kutokana na masuala ya kijamii na kisiasa yaliyoibua hisia tofauti miongoni mwa mashabiki. Kupitia Instagram Story yake, Diamond ameshare video fupi akionyesha begi lililojaa Dola za Kimarekani akiwa ndani ya ndege huku akiambatanisha […]

Read More
 Nadia Mukami Apinga Madai ya Kuhamasisha Uasherati Kupitia Wimbo wa Woza Woza

Nadia Mukami Apinga Madai ya Kuhamasisha Uasherati Kupitia Wimbo wa Woza Woza

Staa wa muziki kutoka Kenya, Nadia Mukami, amepinga vikali madai yanayotembea mtandaoni kuwa wimbo wake mpya uitwao Woza Woza unahamasisha uasherati katika jamii. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Nadia amesema kuwa wasanii wa kike hukumbwa na hukumu kali zaidi ikilinganishwa na wanaume wanapotoa kazi zinazogusa mada nyeti katika jamii. Ameeleza kuwa mara nyingi wanaume huachwa […]

Read More
 Upendo Nkone Atoa Wito wa Tumaini na Msamaha Kuelekea Mwaka Mpya 2026

Upendo Nkone Atoa Wito wa Tumaini na Msamaha Kuelekea Mwaka Mpya 2026

Msanii wa muziki wa Injili, Upendo Nkone, amewahamasisha mashabiki na waumini kuhitimisha mwaka kwa furaha, amani na uchangamfu, akisisitiza umuhimu wa kujisamehe na kuanza upya bila lawama. Katika ujumbe wake wa mwisho wa mwaka, Upendo amewataka watu wajisamehe kwa makosa waliyofanya wao wenyewe pamoja na malengo ambayo hawakuweza kuyatimiza katika mwaka unaoisha wa 2025. Amesisitiza […]

Read More
 Eko Dydda Atetea Gospel ya Kisasa kwa Kuwapuuza Wakosoaji

Eko Dydda Atetea Gospel ya Kisasa kwa Kuwapuuza Wakosoaji

Msanii wa muziki wa injili kutoka Kenya, Eko Dydda, amewatolea uvivu wanaoendelea kukosoa mtindo wake mpya wa muziki wa Injili, akisisitiza kuwa hatabadilisha msimamo wake wala imani yake kwa sababu ya maneno ya watu. Kupitia ujumbe wake uliosambaa mitandaoni, Eko Dydda amewataka wanaobeza muziki wake kupeleka lawama zao kwingine, akisema wazi kuwa hafanyi muziki kuwaridhisha […]

Read More
 Octopizzo Akataa Dini ya Kikristo

Octopizzo Akataa Dini ya Kikristo

Rapa kutoka Kenya, Octopizzo, amezua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kutoa kauli tata kuhusu dini, hususan Ukristo. Akizungumza kwa uwazi, Octopizzo amesema kuwa haamini katika dini ya Kikristo, akidai kuwa Ukristo kwa sasa umegeuzwa kuwa kitega uchumi na baadhi ya viongozi wa dini. Kwa mujibu wake, hali hiyo imemfanya kukosa imani na uhalisia wa dini […]

Read More
 Uganda Kumenyana na Tanzania Leo AFCON 2025

Uganda Kumenyana na Tanzania Leo AFCON 2025

Mataifa ya Afrika Mashariki, Uganda na Tanzania, leo yanakutana katika mechi muhimu ya pili ya Kundi C kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON, yanayoendelea nchini Morocco. Mchuano huo maarufu kama “East African Derby” umepangwa kuchezwa kuanzia saa mbili na nusu, huku timu zote mbili zikiingia uwanjani zikiwa na shinikizo la kutafuta ushindi […]

Read More
 Google Yaianza Maboresho ya Emoji za Android

Google Yaianza Maboresho ya Emoji za Android

Google imeanza kufanya maboresho ya muundo wa emoji zinazotumika kwenye simu za Android, hatua inayolenga kuzifanya zifanane kwa kiasi kikubwa na emoji za iPhone zinazotumika kwenye mfumo wa iOS. Mabadiliko hayo yameanza kuonekana katika mfumo mpya wa majaribio wa Android 16, ambapo emoji nyingi zimeboreshwa muonekano wake na kufanana zaidi na zile za Apple. Kwa […]

Read More
 Oga Obinna Akataa Penzi la Shabiki wa Miaka 18

Oga Obinna Akataa Penzi la Shabiki wa Miaka 18

Msanii wa vichekesho na mwanahabari, Oga Obinna, amezua mjadala mitandaoni baada ya kukataa waziwazi ombi la kutoka kimapenzi na shabiki wake mwenye umri wa miaka 18. Kupitia picha za skrini shots zilizosambaa mtandaoni, Obinna anaonekana akiweka wazi msimamo wake kwa kuamwambia binti huyo kuwa bado ni mdogo sana na akamshauri aelekeze nguvu zake kwenye masomo […]

Read More
 Bensoul afichua sababu za kususia tamasha la Asake Nairobi

Bensoul afichua sababu za kususia tamasha la Asake Nairobi

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Bensoul, ameweka wazi kilichomsukuma yeye na timu yake kususia tamasha la Asake jijini Nairobi, licha ya kuwa shabiki mkubwa wa nyota huyo wa Nigeria. Kwenye mahojiano na Obinna TV, Bensoul amesema walipofika eneo la tamasha kwa ajili ya sound check, walikumbana na hali ya dharau. Anadai kuwa waliamriwa waondoke jukwaani, […]

Read More
 Harmonize Akiri Hadharani Kuwa Kajala Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi Duniani

Harmonize Akiri Hadharani Kuwa Kajala Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi Duniani

Msanii wa Bongo Fleva Harmonize amewasisimua mashabiki wake baada ya kukiri hadharani kuwa Kajala Masanja ndiye mwanamke mrembo zaidi kuwahi kumuona duniani, kauli aliyotoa akiwa jukwaani pamoja na Kajala huko Zanzibar. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo wakati wa burudani, ambapo Harmonize na Kajala walionekana wakishindwa kujizuia hisia zao mbele ya umati wa mashabiki. […]

Read More
 Harmonize na Kajala Washindwa Kujizuia Jukwaani, Wapigana Mabusu Hadharani

Harmonize na Kajala Washindwa Kujizuia Jukwaani, Wapigana Mabusu Hadharani

Msanii wa Bongo Fleva Harmonize na Mwanamama Kajala Masanja wamezua gumzo kubwa baada ya kuonekana wakishindwa kujizuia jukwaani na kupigana mabusu hadharani, tukio lililotokea usiku wa kuamkia leo wakati wa burudani huko Visiwani Zanzibar. Wakiwa mbele ya maelfu ya mashabiki, wawili hao walionekana wakitabasamu, kukumbatiana na hatimaye kubadilishana mabusu, jambo lililosababisha shangwe na makelele kutoka […]

Read More