Bahati Ajitangaza Msanii Mwenye Mafanikio Zaidi Kenya

Bahati Ajitangaza Msanii Mwenye Mafanikio Zaidi Kenya

Msanii nyota wa muziki nchini Kenya, Bahati, ametangaza kuwa yeye ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa zaidi kuwahi kutokea nchini humo. Bahati ametoa kauli hiyo alipokuwa akiwatakia mashabiki wake sikukuu njema ya Krismasi, akiwa pamoja na mke wake Diana B na watoto wao, akisema safari yake ya muziki imejaa baraka, mafanikio na ushindi mkubwa unaoonekana wazi […]

Read More
 Kin Bella Asema Ukosefu wa Fursa Unawakandamiza Wasanii wa Kike

Kin Bella Asema Ukosefu wa Fursa Unawakandamiza Wasanii wa Kike

Msanii wa muziki kutoka Uganda, Kin Bella, amezua gumzo kubwa baada ya kufichua changamoto nzito zinazokabili wasanii wa kike chipukizi wanaotaka kufanikiwa katika tasnia ya muziki nchini humo. Akizungumza katika mahojiano maalumu na mtangazaji Sheilah Price, Bella amesema kuwa wasanii wengi wa kike nchini humo hulazimika kukubali kutumika kimapenzi na watu wenye ushawishi mkubwa ili […]

Read More
 Akothee Alalamikia Kutozwa Gharama Kubwa za Urembo wa Kucha

Akothee Alalamikia Kutozwa Gharama Kubwa za Urembo wa Kucha

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee, amelalamikia kutozwa gharama kubwa aliyodai hakuwa amepangia kwenye bajjeti yake baada ya kupata huduma ya urembo wa kucha. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Akothee amesema alishangazwa kutozwa pesa za huduma ya kupanga na kupaka rangi kucha pamoja na kulipishwa nauli ya teksi ya mtaalam wa urembo ilhali alikuwa amepangia kulipa […]

Read More
 Esma Amkingia Kifua Diamond Platnumz Baada ya Madai ya Kupaka Lipstick

Esma Amkingia Kifua Diamond Platnumz Baada ya Madai ya Kupaka Lipstick

Dada yake msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz, Esma Platnumz, amejitokeza hadharani na kumtetea kaka yake kufuatia madai yaliyoenea mitandaoni kuwa Diamond alikuwa amepaka lipstick. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Esma amesema watu waache ushamba na kutoa hukumu zisizo na msingi. Kwa mujibu wake, Diamond hakupaka lipstick bali alitumia lip balm, bidhaa ya kawaida ya […]

Read More
 El Mando: Mashabiki Hawana Uwezo wa Kuuua Muziki wa Bongo Fleva

El Mando: Mashabiki Hawana Uwezo wa Kuuua Muziki wa Bongo Fleva

Mdau na mchambuzi wa masuala ya burudani kutoka Tanzania, El Mando, amesema kuwa mashabiki hawana uwezo wa kuushusha muziki wa Bongo Fleva, akisisitiza kuwa muziki huo umejengwa na kupiganiwa kwa muda mrefu na wadau wengi. Akipiga stori na Bongoplus, El Mando amesema misukosuko ya kisiasa na mijadala ya mitandaoni haiwezi kuuangamiza muziki ambao umejijengea msingi […]

Read More
 Nadia Mukami Atangaza Mshindi wa Woza Challenge

Nadia Mukami Atangaza Mshindi wa Woza Challenge

Msanii wa muziki nchini Kenya, Nadia Mukami, ametangaza rasmi mshindi wa Woza Challenge iliyotikisa mitandao ya kijamii kwa wiki kadhaa. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Nadia amesema haikuwa kazi rahisi kumchagua mshindi kutokana na ubunifu mkubwa ulioonyeshwa na washiriki wengi, lakini hatimaye Paida Mitumba aliibuka kidedea. Kwa mujibu wa Nadia, video ya Paida […]

Read More
 Pipi Jojo Awashukuru Mashabiki, Aahidi Makubwa 2026

Pipi Jojo Awashukuru Mashabiki, Aahidi Makubwa 2026

Msanii wa Bongo Fleva, Pipi Jojo, ametoa shukrani zake za dhati kwa mashabiki wote waliomuunga mkono tangu aanze safari yake ya muziki hadi kufikia hatua ya kuachia EP yake I Want to Make My Mama Proud. Akizungumza akiwa kwenye ziara yake ya kimuziki nchini Uganda, Pipi Jojo amesema upendo na sapoti kutoka kwa mashabiki imekuwa […]

Read More
 Roma Yaanza Harakati za Kumsajili Joshua Zirkzee

Roma Yaanza Harakati za Kumsajili Joshua Zirkzee

Klabu ya AS Roma inatarajiwa kuanza harakati za kumsajili mshambulizi wa Manchester United, Joshua Zirkzee, siku ya Ijumaa. Taarifa zinaeleza kuwa miamba hao wa Italia wanataka kumsajili mchezaji huyo kwa mkopo wa awali, kabla ya kumfanya mchezaji wa kudumu endapo makubaliano yatakamilika. Zirkzee, mwenye umri wa miaka 24, amekuwa miongoni mwa wachezaji wanaoaminika katika kikosi […]

Read More
 YouTube Yazindua Kipengele cha “Ask” Kinachotumia Akili Bandia ya Gemini

YouTube Yazindua Kipengele cha “Ask” Kinachotumia Akili Bandia ya Gemini

YouTube imezindua kipengele kipya kinachoitwa “Ask”, ambacho sasa kinapatikana katika nchi zote duniani. Awali, kipengele hiki kilikuwa kinapatikana katika baadhi ya nchi pekee, lakini kwa sasa watumiaji wote wanaweza kukitumia. Kipengele cha Ask kimewekwa kwenye vitufe vya video, na kinawaruhusu watazamaji kuuliza maswali kuhusu video wanayoitazama. Kupitia sehemu hii, mtumiaji anaweza kupata muhtasari wa video, […]

Read More
 Jeraha la Fernandes Linaleta Changamoto Kubwa kwa United

Jeraha la Fernandes Linaleta Changamoto Kubwa kwa United

Kocha wa Manchester United, Ruben Amorim, amethibitisha kwamba itakuwa changamoto kubwa kupata mchezaji atakayechukua nafasi ya Bruno Fernandes, baada ya mchezaji huyo kujeruhiwa paja katika mechi ya Jumapili dhidi ya Aston Villa, ambayo ilimalizika kwa ushindi wa 2-1. Taarifa kutoka klabu hiyo zinaonyesha kuwa Fernandes atakosa mechi tano muhimu na anaweza kurejea uwanjani wakati wa […]

Read More
 Meta Yazindua SAM Audio: AI Inayofanya Uhariri wa Sauti Rahisi

Meta Yazindua SAM Audio: AI Inayofanya Uhariri wa Sauti Rahisi

Meta imezindua SAM Audio, teknolojia mpya ya AI inayoweza kutenganisha sauti maalum kutoka kwenye audio yenye sauti nyingi, kwa kutumia maelekezo rahisi kama maandishi, picha, au kipindi cha muda. Kwa msaada wa SAM Audio, mtumiaji anaweza kutoa ala za muziki, kuondoa kelele za nyuma, au kuchuja sauti zisizohitajika kwa hatua chache tu. Teknolojia hii inapatikana […]

Read More