Burna Boy Alazika Kufuta Shows zake Baada ya Kuugua Ghafla

Burna Boy Alazika Kufuta Shows zake Baada ya Kuugua Ghafla

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Burna Boy, amelazika kufuta shows zake baada ya kuchoka kupita kiasi. Msanii huyo wa muziki wa Afro-fusion ameshare video kupitia Instastory yake ikimuonesha akipatiwa matibabu baada ya kupiga show tatu mfululizo ndani ya masaa 24 bila kupata muda wa kupumzika. Hali hiyo imesababisha kufutwa kwa show yake iliyokuwa imepangwa kufanyika […]

Read More
 Femi One Apokea Rasmi Tuzo ya Unkut Hiphop Awards 2025

Femi One Apokea Rasmi Tuzo ya Unkut Hiphop Awards 2025

Rapa nyota kutoka Kenya, Femi One, ametangaza rasmi kupokea tuzo yake ya Unkut Hiphop Awards 2025 katika kipengele cha Best Female Artist, hatua inayoendeleza rekodi yake kama mmoja wa marapa wa kike wenye ushawishi mkubwa katika Afrika Mashariki. Kupitia ujumbe aliouweka mtandaoni, Femi One amewashukuru mashabiki wake kwa kura na upendo waliomuonyesha, pamoja na waandaaji […]

Read More
 Rayvanny na Nora Fatehi Washukuru Mashabiki Baada ya Kushinda Tuzo ya Video Bora ya Mwaka

Rayvanny na Nora Fatehi Washukuru Mashabiki Baada ya Kushinda Tuzo ya Video Bora ya Mwaka

Msanii wa Bongo Fleva Rayvanny na nyota wa kimataifa Nora Fatehi wamewafikia mashabiki wao kwa ujumbe wa shukrani baada ya ushindi mkubwa kwenye EAEA Awards, ambako wimbo wao “Oh Mama Tetema” umeibuka mshindi wa Video Bora ya Mwaka. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rayvanny amepakia video ya Nora Fatehi akitoa shukurani kwa mashabiki wote waliounga […]

Read More
 Daddy Awashauri Wanaume Kutoziweka Hisia Zote kwa Wanawake

Daddy Awashauri Wanaume Kutoziweka Hisia Zote kwa Wanawake

Mwanamuziki wa Injili, Daddy Owen, ameibua mjadala mtandaoni baada ya kutoa ushauri mkali kwa wanaume kuhusu namna wanavyopaswa kujihusisha kimapenzi na wanawake. Kupitia mitandao ya kijamii, Daddy Owen amewataka wanaume kutoziweka hisia zao zote kwa wanawake, akisema kufanya hivyo kunawafanya kuwa rahisi kudhibitiwa kihisia. Kwa mujibu wa ujumbe wake, wanaume wanaoweka mapenzi na hisia zao […]

Read More
 Bien Aachia Remix Nane Mpya za Wimbo Wake “All My Enemies Are Suffering”

Bien Aachia Remix Nane Mpya za Wimbo Wake “All My Enemies Are Suffering”

Mwanamuziki nyota Bien ameendeleza kasi ya mafanikio ya kibao chake “All My Enemies Are Suffering” baada ya kuachia rasmi remix nane mpya za wimbo huo. Katika remixes hizo, Bien amewaleta pamoja mastaa wengi wakubwa kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika, akiwemo Tobe Nwigwe, Breeder LW, Khaligraph Jones, Original Stinger, Yemi Alade na Jerau, miongoni mwa wengine. […]

Read More
 Rapa Khaligraph Jones Ajitosa Rasmi Kwenye Boxing

Rapa Khaligraph Jones Ajitosa Rasmi Kwenye Boxing

Rapa kutoka Kenya, Khaligraph Jones, ametangaza rasmi kuingia kwenye mchezo wa masumbwi, hatua inayoongeza sura mpya katika mjadala wa wasanii wanaojitosa kwenye michezo ya ushindani. Kupitia Instastory yake, Khaligraph ameeleza kuwa anatafuta kocha wa ngumi atakayemsaidia kujiandaa kwa mapambano maalum dhidi ya wasanii wengine mwaka 2026. Ingawa hakutaja majina ya wapinzani anaowalenga, ujumbe wake umeibua […]

Read More
 Mwijaku Akanusha Taarifa za Kuachana na Mke Wake

Mwijaku Akanusha Taarifa za Kuachana na Mke Wake

Mwanamitandao maarufu nchini Tanzania, Mwijaku, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa ameachana na mke wake. Akizungumza na moja ya vyombo vya habari nchini humo, amesisitiza kwamba bado wako pamoja licha ya mke wake kuondoka nyumbani kwa muda. Mwijaku ambaye anafahamika kama DC wa Instagram, amefafanua kuwa hatua ya mke wake kutohonekana nyumbani haimaanishi kuvunjika kwa […]

Read More
 Dulla Makabilla Awataka Wasanii Wasijilinganishe Naye Kwa Utajiri

Dulla Makabilla Awataka Wasanii Wasijilinganishe Naye Kwa Utajiri

Msanii wa Singeli, Dulla Makabilla, amewataka wasanii nchini Tanzania kuacha kujilinganisha naye kwenye masuala ya fedha, akisema kwa sasa amejitawaza rasmi kuwa tajiri na hana mpango wa kushindana na mtu kwenye kipato. Kwenye Mahojiano na Bongo 5, Makabilla amesema wasanii wanaopenda mashindano ya mali au kuonyesha utajiri hawapaswi kumchukulia kama kipimo cha mafanikio hayo. Msanii […]

Read More
 Khaligraph Jones Afunguka Sababu za Kwenda Gym Kila Siku

Khaligraph Jones Afunguka Sababu za Kwenda Gym Kila Siku

Rapa Khaligraph Jones amefunguka sababu inayomsukuma kuendelea na utaratibu wa kufanya mazoezi ya gym kila siku. Kupitia Instastory yake, Khaligraph amesema kuwa hofu ya kukosolewa mitandaoni endapo angeonekana kunenepa kupita kiasi ndiyo sababu kuu ya nidhamu yake ya mazoezi. Khaligraph anaamini kuwa mashabiki na wakosoaji mitandaoni mara nyingi hawana huruma na huwa wakali wanapotoa maoni […]

Read More
 Tiktoker Kabuda Ajitetea Kuhusu Tabia ya Kula Chakula Kingi Kupitia Wimbo

Tiktoker Kabuda Ajitetea Kuhusu Tabia ya Kula Chakula Kingi Kupitia Wimbo

Tiktoker kutoka Kenya aitwaye Kabuda ameibua gumzo mitandaoni baada ya kujibu wakosoaji wake kwa kutumia wimbo “Sipangwingwi” wa msanii Exray. Kabuda, ambaye mara kwa mara hukosolewa kuhusu tabia yake ya kupenda kula chakula kingi, ameamua kujitetea kwa njia ya ubunifu na ucheshi kupitia video aliyochapisha mtandaoni. Katika video hiyo ambayo imeanza kusambaa kwa kasi, Kabuda […]

Read More
 Akothee Awaonya Mabinti zake Dhidi ya Kuingia Kwenye Mahusiano na Wanasiasa

Akothee Awaonya Mabinti zake Dhidi ya Kuingia Kwenye Mahusiano na Wanasiasa

Mwanamuziki, Akothee, ameibua mjadala mitandaoni baada ya kutoa onyo kali kwa mabinti zake kuhusu kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanasiasa. Akizungumza kupitia mitandao yake ya kijamii, Akothee amesema kuwa ameshuhudia visa vingi vya vijana wa kike kuumizwa kihisia na hata kifedha wanapodanganywa na viongozi wanaotumia nafasi zao kwa anasa na starehe. Akothee amesisitiza kuwa […]

Read More