Pritty Vishy Afunguka Sababu za Kuogopa Ndoa
Socialite na mratibu wa maudhui mtandaoni, Pritty Vish, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu sababu zinazomfanya awe na hofu kubwa ya kuingia katika ndoa, akieleza kuwa historia ya familia yake imempa mtazamo tofauti kuhusu maisha ya kifamilia. Kupitia mitandao yake kijamii, Pritty amesema kuwa amekua katika mazingira yaliyomjenga kuwa mwangalifu, baada ya kuona jinsi mama […]
Read More