Bien Akanusha Kuvunjika kwa Kundi la Sauti Sol

Bien Akanusha Kuvunjika kwa Kundi la Sauti Sol

Mwanamuziki Bien-Aimé Baraza ameweka wazi msimamo wa kundi la Sauti Sol kufuatia madai yanayoendelea mtandaoni kwamba wamevunja rasmi ushirikiano wao wa muda mrefu. Akizungumza kuhusu tetesi hizo kwenye runinga ya Citizen, Bien amesisitiza kuwa kundi hilo halijawahi kuachana, na kwamba walitangaza tu kuchukua mapumziko ya muda. Kwa mujibu wa Bien, uhusiano kati ya wanachama wa […]

Read More
 Rapa Barak Jacuzzi Aalikwa Kwenye Pambano la Ndondi

Rapa Barak Jacuzzi Aalikwa Kwenye Pambano la Ndondi

Bondia kutoka Kenya Portifas Odipo, anayefahamika kama Majembe Majembe ameibua mjadala mkali mtandaoni baada kutangaza hadharani anataka kuzichapa na rapa Barak Jacuzzi kupitia pambano la ndondi. Majembe Majembe amesema hataki tena kushinda na Jacuzzi kwa maneno ila anataka waandae pambano la ngumi ili mashabiki wa muziki wa hiphop wapate kufahamu nani ndio mkali kati yao. […]

Read More
 Eric Omondi Awakingia Kifua Gen Z kwa Kutoshiriki Uchaguzi Mdogo Kenya

Eric Omondi Awakingia Kifua Gen Z kwa Kutoshiriki Uchaguzi Mdogo Kenya

Mchekeshaji na mwanaharakati Eric Omondi ametetea vijana wa Gen Z kufuatia madai kwamba hawakujitokeza kushiriki uchaguzi mdogo uliofanyika Novemba 27, ambapo idadi ya wapiga kura ilikuwa ndogo kushinda matarajio. Kupitia mitandao ya kijamii, Omondi amesema kutoshiriki kwao hakukuwa dalili ya kutojua umuhimu wa uchaguzi, bali ni hatua ya kujiondoa kwenye michakato ambayo haina manufaa kwao. […]

Read More
 Mkenya Ruth Bundotich Apata Heshima Kuu ya Dunia Katika Riadha ya Wanawake

Mkenya Ruth Bundotich Apata Heshima Kuu ya Dunia Katika Riadha ya Wanawake

Mkenya Ruth Jepchumba Bundotich ametajwa kuwa Mwanamke Bora wa Shirikisho la Riadha Duniani mwaka 2025, na kutunukiwa tuzo maalum kutokana na mchango wake mkubwa katika uongozi na maendeleo ya riadha. Kwa mujibu wa Shirikisho la Riadha Duniani, Bundotich ametambuliwa kwa uongozi wake shupavu, kujitoa kwake kwa mustakabali wa wanariadha, na juhudi za kubadilisha taswira ya […]

Read More
 WhatsApp Yazindua Kipengele Kipya cha “Save as Draft” kwa Status

WhatsApp Yazindua Kipengele Kipya cha “Save as Draft” kwa Status

Mtandao wa mawasiliano ya simu, WhatsApp, unakaribia kuongeza kipengele kipya kitakachowarahisishia watumiaji wake kuandaa na kuhifadhi Status kabla ya kuzipost. Kipengele hicho kipya, kinachoitwa “Save as Draft”, kwa sasa kinapitia hatua za majaribio (beta testing). Kupitia mabadiliko haya, watumiaji wataweza kuhifadhi Status wanayoitengeneza endapo wataondoka kwenye ukurasa wa kutengeneza bila kupost. Hii ina maana kwamba […]

Read More
 Chief Godlove Awaponda Wanaouliza Chanzo cha Utajiri Wake

Chief Godlove Awaponda Wanaouliza Chanzo cha Utajiri Wake

Mshawishi wa mitandao ya kijamii, anayejulikana kama Billionaire Chief Godlove, ameibua ghadhabu na mjadala mkali baada ya kuchapisha ujumbe wenye utata uliojaa dharau na kejeli dhidi ya wafuasi wake wanaohoji kuhusu utajiri wake. Katika ujumbe huo uliowekwa kwenye mtandao wa Instagram, mwanamitandao huyo ameonekana kuwadharau wafuasi wake, akijibu maswali ya mara kwa mara kuhusu chanzo […]

Read More
 Carrol Sonnie Amjia Juu Shikie Baada ya Kumkosoa Mwili Wake

Carrol Sonnie Amjia Juu Shikie Baada ya Kumkosoa Mwili Wake

Mwanamitindo na mshawishi wa mitandao ya kijamii, Carrol Sonnie, amefunguka kwa hasira baada ya kukerwa na kitendo cha mtumiaji maarufu wa TikTok, Shikie, kukosoa mabadiliko ya umbo lake la mwili. Katika mfululizo wa jumbe alizozichapisha kwenye kipengele cha Instagram Stories, Carrol Sonnie ameonyesha wazi kutoridhishwa na maoni ya Shikie kuhusu ongezeko la uzito wake wa […]

Read More
 Lillian Ng’ang’a Aonya Vijana Kuhusu Mitindo Hatarishi ya Urembo

Lillian Ng’ang’a Aonya Vijana Kuhusu Mitindo Hatarishi ya Urembo

Mwanaharakati wa masuala ya kijamii nchini Kenya, Lillian Ng’ang’a, ameibua mjadala muhimu kuhusu ongezeko la vijana wa kike wanaokimbilia kufanya taratibu hatarishi za urembo, akiwataka kuzingatia njia za asili na salama za kujitunza. Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Ng’ang’a ameeleza wasiwasi wake kuhusu mwenendo unaozidi kushika kasi ambapo wanawake wanatumia kemikali na upasuaji […]

Read More
 Pritty Vishy Afunguka Kuhusu Safari ya Kujikubali

Pritty Vishy Afunguka Kuhusu Safari ya Kujikubali

Mwanamitandao na content creator Pritty Vishy ameendelea kufunguka kuhusu safari yake ya kujikubali, akielezea kwa uwazi kwamba alipitia kipindi kigumu cha kutokuwa na uthamini binafsi. Akiangazia maisha yake ya nyuma, Pritty amesema kwamba wakati fulani alihisi kuwa mwanamume hansome akimchumbia, basi alikuwa akimfanyia fadhila. Katika ujumbe aliouchapisha mtandaoni, Pritty Vishy ameeleza kuwa mawazo hayo yalitokana […]

Read More
 KRG The Don Akanusha Kufulia Kiuchumi

KRG The Don Akanusha Kufulia Kiuchumi

Msanii na mfanyabiashara KRG The Don amejitokeza hadharani kupinga uvumi unaosambaa mtandaoni kwamba amefulia kiuchumi, akisisitiza kuwa madai hayo hayana ukweli wowote. Kuptia video aliyochapiha mtandaoni, KRG amesema kuwa utajiri wake si wa kubahatisha, bali umetokana na kazi zake nyingi alizofanya kwa muda mrefu katika muziki, biashara na uwekezaji mbalimbali. Msanii huyo, amesisitiza kuwa hakuna […]

Read More
 Harmonize Ampongeza Davido kwa Kuwakumbuka Watanzania Waliofariki kwenye Machafuko ya Uchaguzi

Harmonize Ampongeza Davido kwa Kuwakumbuka Watanzania Waliofariki kwenye Machafuko ya Uchaguzi

Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize ameonekana kuguswa na kitendo cha msanii wa Nigeria Davido kusimamisha tamasha lake nchini Marekani ili kutoa heshima kwa Watanzania waliofariki wakati wa machafuko ya uchaguzi ya Oktoba 29. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize amepongeza hatua hiyo, akitoa wito wa maombi ya pamoja kwa nchi za Tanzania, Sudan Kusini, […]

Read More