Google Chrome Yaanza Jaribio la Kuzuia Websites Kutambua Mahali Ulipo

Google Chrome Yaanza Jaribio la Kuzuia Websites Kutambua Mahali Ulipo

Google Chrome inajaribu kipengele kipya ambacho kitawapa watumiaji udhibiti zaidi juu ya taarifa zao za mahali walipo mtandaoni. Kipengele hiki kinakusudia kuzuia websites kuweza kuona eneo kamili la mtumiaji. Kwa kawaida, Chrome inaweza kupata eneo lako kupitia IP Address yako na sensa za GPS zilizopo kwenye kifaa chako. Hii inamaanisha kwamba, bila kuzingatia mipangilio ya […]

Read More
 Lilian Ng’ang’a Awatetea Mastaa wa Kenya Waliosafiri Israel Kutangaza Utalii

Lilian Ng’ang’a Awatetea Mastaa wa Kenya Waliosafiri Israel Kutangaza Utalii

Mwanaharakati Lillian Ng’ang’a amejiunga na mjadala unaoendelea mtandaoni kuhusu kundi la waimbaji wa injili na influencers kutoka Kenya walioitikia mwito wa kusafiri nchini Israel kupitia kampeni ya utalii ya “Israel in Kenya.” Kupitia Instastory yake, Lillian Ng’ang’a amewakingia kifua wasanii na influencers hao, akibainisha kuwa ziara yao haihusiani na msimamo wa kisiasa wala kuunga mkono […]

Read More
 Juma Jux na Mkewe Priscilla Wadokeza Mpango wa Kuhamia Kenya

Juma Jux na Mkewe Priscilla Wadokeza Mpango wa Kuhamia Kenya

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Juma Jux na mkewe kutoka Nigeria, Priscilla Ojo,wameibua msisimko mkubwa mtandaoni baada ya kudokeza mipango yao ya kuhamia nchini Kenya na kununua makazi mapya. Tetesi za wawili hao kuhama zilianza kusambaa baada ya kushiriki picha zenye mvuto na video fupi wakiwasili kwenye jumba la kifahari jijini Nairobi. Kitendo hicho […]

Read More
 Charisma Atetea Muziki wa Kenya Baada ya Kauli kuwa Tanzania ni Bora Kimuziki

Charisma Atetea Muziki wa Kenya Baada ya Kauli kuwa Tanzania ni Bora Kimuziki

Msanii anayechipukia kwa kasi katika tasnia ya muziki nchini Kenya, Charisma, amepinga vikali madai yaliyosambaa mtandaoni hivi karibuni yakidai kwamba muziki wa Tanzania una ubora zaidi kuliko wa Kenya. Akijibu moja kwa moja shabiki aliyeibua mjadala huo, Charisma amesema suala la ubora wa muziki halipimwi na nchi, bali linapimwa na ubunifu, uwekezaji, na jinsi msanii […]

Read More
 Kinuthia Atangaza Mpango wa Kufanya BBL na Tummy Tuck

Kinuthia Atangaza Mpango wa Kufanya BBL na Tummy Tuck

Mwanamitandao mwenye utata kutoka Kenya, Kelvin Kinuthia, amefunguka kuhusu mpango wake wa kufanyiwa upasuaji wa kuboresha mwili wake baada ya safari yake ya kupunguza uzito kwa kutumia dawa za Ozempic kupata mafanikio. Akizungumza kwenye YouTube channel yake, Kinuthia amesema kuwa anapanga kufanyiwa BBL (Brazilian Butt Lift) na tummy tuck, hatua ambazo ni muhimu baada ya […]

Read More
 Bensoul na Vic West Watangaza Ujio wa EP Mpya

Bensoul na Vic West Watangaza Ujio wa EP Mpya

Wanasani wa muziki wa kizazi kipya nchini Kenya, Bensoul na Vic West, wametangaza rasmi ujio wa EP yao mpya iitwayo “All Hands on Dec” Kupitia mitandao yao ya kijamii wawili hao, wamethibitisha kuwa mradi huu una jumla ya nyimbo saba za moto na itaingia sokoni Disemba 5 mwaka huu 2025. Kwa mujibu wa artwork walioshiriki […]

Read More
 Spice Diana Avishwa Pete ya Uchumba Nchini Uingereza

Spice Diana Avishwa Pete ya Uchumba Nchini Uingereza

Msanii nyota wa muziki kutoka Uganda, Spice Diana, ameripotiwa kuvishwa pete ya uchumba kwa siri nchini Uingereza. Taarifa hizo zimechochewa zaidi na mfululizo wa picha na video zilizosambaa mitandaoni zikionyesha mrembo huyo akiwa na pete mpya linaloonekana kama la uchumba. Katika picha hizo, Spice Diana anaonekana mwenye furaha kubwa huku akiwa kwenye mazingira yanayodaiwa kuwa […]

Read More
 Peter Miracle Baby Afunguka kwa Uchungu Jinsi KRG The Don Alivyomdhalilisha Mtandaoni

Peter Miracle Baby Afunguka kwa Uchungu Jinsi KRG The Don Alivyomdhalilisha Mtandaoni

Msanii aliyegeukia muziki wa mugithi, Peter Miracle Baby, amefunguka kwa uchungu namna msanii KRG The Don alivyodhalilisha mtandaoni kwa maneno makali kipindi ambacho afya yake ilikuwa imedhoofika. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Peter amesema kuwa alikuwa mlegevu na amelala kitandani hospitalini wakati KRG alipotumia maneno yaliyomuumiza kihisia na kumuathiri kisaikolojia. Amedai kuwa kipindi hicho alikuwa hana […]

Read More
 Gloria Ntazola Afanya Upasuaji wa Urembo wa Shillingi Ksh Millioni 1.8

Gloria Ntazola Afanya Upasuaji wa Urembo wa Shillingi Ksh Millioni 1.8

Mrembo maarufu mtandaoni nchini Kenya, Gloria Ntazola, amefichua kuwa alitumia zaidi ya KSh 1.8 milioni kufanya upasuaji wa kuboresha mwili (cosmetic surgery) mjini Lagos, Nigeria. Akieleza safari yake ya upasuaji kupitia Instastory, Gloria ametaja kuwa kiasi hicho kilijumuisha gharama za taratibu za kitabibu, malazi ya hoteli, huduma za uangalizi baada ya upasuaji, pamoja na matibabu […]

Read More
 Bien Atimiza Ahadi ya Kshs 130,000 kwa Mshindi wa All My Enemies Are Suffering Challange

Bien Atimiza Ahadi ya Kshs 130,000 kwa Mshindi wa All My Enemies Are Suffering Challange

Msanii wa Sauti Sol, Bien-Aimé Baraza, amemkabidhi rasmi rapper Original Stinger KSh130,000 baada ya kumtangaza mshindi wa “All My Enemies Are Suffering” Challenge, shindano lililovutia mamia ya vijana wanaochipukia katika muziki. Akizungumza alipokabidhi fedha hizo, Bien amemsifu Stinger kwa kufanya kazi yake kwa bidii na kumpongeza kwa kutumia muziki kama nguzo ya kujikwamua na kujiendeleza. […]

Read More