Khaligraph Jones Atangaza Ujio wa Duka Kubwa la Mavazi 2026

Khaligraph Jones Atangaza Ujio wa Duka Kubwa la Mavazi 2026

Rapa kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones, ametangaza kuingia rasmi katika ulimwengu wa fasheni kwa mpango mpya unaotarajiwa kuvutia mashabiki na wadau wa mitindo. Kupitia instastory yake, Rapa huyo amesema kuwa atazindua duka lake la mavazi na bidhaa za ubunifu mwaka 2026, hatua inayotafsiriwa kama mwanzo wa sura mpya katika safari yake ya kisanii na kibiashara. […]

Read More
 YouTube Yajaribu Kurudisha Sehemu ya Meseji Moja kwa Moja

YouTube Yajaribu Kurudisha Sehemu ya Meseji Moja kwa Moja

YouTube imeanza kujaribu kurudisha huduma ya ujumbe wa moja kwa moja, inayojulikana kama DM, kwenye app yake ya simu. Sehemu hii iliondolewa mwaka 2019, lakini kampuni hiyo imesema watumiaji wengi walikuwa wanaiomba irudishwe. Sasa YouTube imeanza kufanya majaribio kwa baadhi ya watumiaji wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Kwa mfumo huu mpya, watumiaji wataweza […]

Read More
 Lukenya University Yapanga Mbio Kubwa Zaidi 2026

Lukenya University Yapanga Mbio Kubwa Zaidi 2026

Mbio za marathoni za Lukenya University Ten Million Trees zimeratibiwa kurejelewa mwaka ujao, huku waandalizi wakithibitisha kuwa makala ya nne yataandaliwa tarehe 28 mwezi Machi mwaka 2026, mjini Mtitu Andei. Kulingana na waandalizi mbio hizo zinatarajiwa kuwa kubwa zaidi huku mashindano hayo yakishirikisha mbio za wanariadha wenye uzoefu na washiriki wengine. Kilele cha mashindano hayo […]

Read More
 Diana B Awaonya Mabinti Wanaonyemelea Mwanaye Morgan Bahati Mtandaoni

Diana B Awaonya Mabinti Wanaonyemelea Mwanaye Morgan Bahati Mtandaoni

Mwanamitandao aliyegeukia muziki Diana Bahati amemwonya waziwazi mabinti mtandaoni kumuepuka mwanawe, Morgan Bahati, kufuatia mawasiliano ambayo hayakumpendeza kama mzazi. Katika ujumbe wake, Diana amesisitiza kuwa hana tatizo na mashabiki kumpenda au kuwasiliana na Morgan, lakini amekemea vikali tabia ya wasichana kumwomba hela mtoto wake, akibainisha kuwa lengo lake ni kuhakikisha Morgan anazingatia masomo na malezi […]

Read More
 Mchekeshaji Flaqo Ahoji Wimbi la Upasuaji wa Kuongeza Maumbile Miongoni mwa Mastaa

Mchekeshaji Flaqo Ahoji Wimbi la Upasuaji wa Kuongeza Maumbile Miongoni mwa Mastaa

Mchekeshaji kutoka Kenya Flaqo ameibua mjadala mkubwa mitandaoni baada ya kutoa maoni yake kuhusu wimbi la wasanii na wanamitindo wanaofanyiwa au kutangaza kufanyiwa upasuaji wa kuongeza maumbo, maarufu kama BBL (Brazilian Butt Lift). Kupitia mitandao yake kijamii, ameeleza wazi mshangao wake kuhusu jinsi upasuaji wa BBL umeongezeka mno katika siku za hivi karibuni miongoni mwa […]

Read More
 Msanii Mkongwe wa Reggae Jimmy Cliff Afariki Dunia

Msanii Mkongwe wa Reggae Jimmy Cliff Afariki Dunia

Nguli wa muziki wa reggae duniani, Jimmy Cliff, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Familia yake ilithibitisha taarifa hizo jana, ikieleza kuwa alifariki baada ya kupata mshituko (seizure) uliotanguliwa na pneumonia. Jimmy Cliff, ambaye amekuwa mmoja wa wasanii tajika katika historia ya reggae, alijizolea umaarufu kupitia vibao kama “Many Rivers to Cross”, “Wonderful […]

Read More
 Pritty Vishy Awataka Wakenya Kufanya Utafiti Kabla ya Kuwakosoa Wanaofanya BBL

Pritty Vishy Awataka Wakenya Kufanya Utafiti Kabla ya Kuwakosoa Wanaofanya BBL

Influencer na content creator kutoka Kenya Pritty Vishy amejibu vikali ukosoaji unaoendelea mitandaoni dhidi ya mastaa wanaochagua kufanyiwa upasuaji wa urembo, akiwataka Wakenya kuacha kuwahukumu bila kuelewa ukweli wa mambo. Katika ujumbe wake aliyouweka mtandaoni, Pritty Vishy ameweka wazi kuwa maamuzi ya mtu kuhusu mwili wake ni ya kibinafsi na hayapaswi kugeuzwa chanzo cha mashambulizi […]

Read More
 Nyota Ndogo Akemea Ubaguzi wa Rangi Mitandaoni

Nyota Ndogo Akemea Ubaguzi wa Rangi Mitandaoni

Msanii mkongwe wa muziki nchini Kenya, Nyota Ndogo ameonyesha wazi kukerwa na baadhi ya watu wanaoendelea kumkejeli mtandaoni kwa misingi ya ubaguzi wa rangi. Kupitia mitandao yake ya kijamii, amesema kuwa maoni hayo hayamvunji moyo bali yanadhihirisha kiwango cha ujinga na chuki mitandaoni. Nyota Ndogo amesisitiza kuwa rangi yake ya ngozi sio tatizo, bali ni […]

Read More
 Mange Kimambi Awataka Watanzania Kususia Shows za Wasanii

Mange Kimambi Awataka Watanzania Kususia Shows za Wasanii

Mwanaharakati mwenye asili ya Tanzania Mange Kimambi ameibua gumzo kubwa mitandaoni baada ya kutoa wito mkali kwa Watanzania kutowarudisha wasanii kwenye umaarufu, akiwatuhumu kushirikiana na serikali kupuuza maumivu ya wananchi. Kupitia ujumbe mrefu aliouweka mtandaoni, Kimambi amesema kuwa baadhi ya wasanii waliosimama na serikali na kuhalalisha vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu hawapaswi kupewa […]

Read More