KRG The Don Atangaza Kugombea Useneta Nairobi 2027

KRG The Don Atangaza Kugombea Useneta Nairobi 2027

Msanii aligeukia biashara nchini Kenya, KRG The Don, ametangaza rasmi kwamba atawania nafasi ya Useneta wa Kaunti ya Nairobi katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akitumia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii, KRG amesema kuwa huu ni wakati wa viongozi wapya na vijana kuingia katika uongozi ili kuleta mabadiliko ya kweli jijini Nairobi. Katika ujumbe wake, […]

Read More
 Akothee Awakosoa Mastaa Wanaoishi Maisha ya Kuigiza Mtandaoni

Akothee Awakosoa Mastaa Wanaoishi Maisha ya Kuigiza Mtandaoni

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Akothee, amewakosoa vikali baadhi ya mastaa nchini humo kwa kile alichokiita kuishi maisha ya uongo kwenye mitandao ya kijamii. Akothee anadai kuwa mastaa wengi wanajionyesha kama watu wenye utajiri mkubwa mtandaoni, lakini ukweli ni kwamba wengi wao hawana uwezo huo katika maisha ya kawaida. Mwanamama huyo, amewataka mashabiki kutopoteza muda […]

Read More
 Iyanii Ashinda Tuzo Mbili Kubwa

Iyanii Ashinda Tuzo Mbili Kubwa

Msanii nyota wa Afropop, Iyanii, ameendelea kung’ara kwenye tasnia ya muziki baada ya kushinda tuzo mbili katika hafla ya utoaji tuzo za Jamhuri mwaka huu Jijini Nairobi. Iyanii ametia kibindoni tuzo ya Best Male Artist of the Year, kutokana na mchango wake mkubwa na kazi zilizotamba nchini Kenya. Lakini pia ameshinda tuzo ya Music Collaboration […]

Read More
 Huddah Monroe Azua Tetesi za Mahusiano na  Rapa Rick Ross

Huddah Monroe Azua Tetesi za Mahusiano na Rapa Rick Ross

Rapper wa Marekani Rick Ross ameibua gumzo jipya la tetesi za kimapenzi na sosholaiti wa Kenya Huddah Monroe baada ya kutuma ujumbe wa faragha uliodhihirisha ukaribu wao. Huddah, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameshare screenshot ya mazungumzo yao na kuandika ujumbe ulioashiria kujisalimisha kwake kwa mapenzi ya msanii huyo. Katika maelezo yake, Huddah amesisitiza kuwa […]

Read More
 Maandy Amlinganisha Willy Paul na Michael Jackson Baada ya Show Kali

Maandy Amlinganisha Willy Paul na Michael Jackson Baada ya Show Kali

Rapa wa kike kutoka nchini Kenya, Maandy, amezua mshangao na gumzo mtandaoni baada ya kumsifia msanii Willy Paul kufuatia tamasha lake alilohudhuria mwishoni mwa wiki. Kupitia mitandao ya kijamii, Maandy ameeleza kuwa amebaki na mshangao mkubwa kutokana na kiwango cha umahiri alichokiona jukwaani, akimfananisha Willy Paul na Michael Jackson kwa uwezo wake wa kuimba na […]

Read More
 Luciano Ataka Rais William Ruto Kuhalalisha Bangi Kenya

Luciano Ataka Rais William Ruto Kuhalalisha Bangi Kenya

Msanii nyota wa reggae kutoka Jamaica, Luciano, ameibua mjadala mzito mtandaoni baada ya kumtaka Rais William Ruto kuzingatia hatua ya kuifanya Kenya kuwa miongoni mwa nchi za kwanza barani Afrika kuhalalisha bangi. Akizungumza na Radio Citizen, Luciano amesifu ushawishi mkubwa wa kitamaduni wa Kenya barani Afrika na duniani, akisema kuwa uhalalishaji wa bangi unaweza kufungua […]

Read More
 Stevo Simple Boy Aonyesha Muonekano Mpya wa Gari Lake

Stevo Simple Boy Aonyesha Muonekano Mpya wa Gari Lake

Msanii Stevo Simple Boy ameivutia mitandao baada ya kufichua sura mpya ya gari lake aina ya Nissan March, ambalo sasa limechorwa graffiti kali yenye mandhari ya joka (dragon). Gari hilo limepambwa na michoro mikubwa yenye rangi ang’avu na taswira ya joka, ikitoa mwonekano wa kipekee unaoendana na mtindo wa Stevo Simple Boy na taswira yake […]

Read More
 Msanii Iyanii Atoa Vifaa vya Muziki kwa Wafungwa Gerezani

Msanii Iyanii Atoa Vifaa vya Muziki kwa Wafungwa Gerezani

Msanii wa muziki nchini Kenya, Iyanii, ameonyesha moyo wa kutoa na kuunga mkono jamii baada ya kutembelea Gereza la Kamiti Medium kwa shughuli za Utoaji Huduma kwa Jamii (CSR). Katika ziara hiyo, msanii huyo ametoa seti kamili ya vifaa vya muziki (sound system) kwa madhumuni ya kusaidia na kukuza vipaji vya wafungwa. Msaada huo unatarajiwa […]

Read More
 Bien wa Sauti Sol Ataka Mwili wake Uchomwe Moto Akiaga Dunia

Bien wa Sauti Sol Ataka Mwili wake Uchomwe Moto Akiaga Dunia

Mwanamuziki Bien kutoka kundi la Sauti Sol ameibua mjadala mtandaoni baada ya kueleza mtazamo wake binafsi kuhusu namna angetaka kuzikwa endapo siku yake ya kuaga dunia itawadia. Katika maelezo yake, Bien amesisitiza kuwa hataki kabisa kufukiwa kaburini, akiamini kuwa kaburi ni upotevu wa ardhi na sio njia anayopendelea. Mkali huyo wa All My Enemies Are […]

Read More
 Mbunge Babu Owino Afurahi Kukutana na Rapa Kaycyy

Mbunge Babu Owino Afurahi Kukutana na Rapa Kaycyy

Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, ameonyesha furaha yake kubwa baada ya kukutana na mshindi wa tuzo za Grammy mwenye asili ya Kenya, Rapa KayCyy, ambaye amerejea nchini humo baada ya kukaa Marekani kwa zaidi ya miaka 17. Owino, ambaye anamezea mate kiti cha ugavana wa Nairobi mwaka 2027, amesema KayCyy ni miongoni mwa vipaji […]

Read More