Dulla Makabila Atoa  Milioni 120 Taslimu  Kusaidia Wasanii wa Singeli

Dulla Makabila Atoa  Milioni 120 Taslimu  Kusaidia Wasanii wa Singeli

Staa wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kuonekana akiwa na kifurushi cha pesa kinachokadiriwa kufikia Tsh milioni 120, akidai kuwa kiasi hicho kimetengwa mahsusi kwa ajili ya kusaidia wasanii wenzake wa Singeli ili waendelee kusimama imara kwenye game. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Dulla Makabila amechapisha video akionesha fedha hizo […]

Read More
 Otile Brown Aachia Rasmi EP Yake Mpya,

Otile Brown Aachia Rasmi EP Yake Mpya,

Msanii wa RnB kutoka Kenya, Otile Brown, amethibitisha rasmi kuachiwa kwa EP yake mpya, akisema kazi hiyo inapatikana sasa kwenye majukwaa yote makuu ya muziki mtandaoni. EP hii, inayokwenda kwa jina “The Real King of the East”, ina ngoma tano zenye mwelekeo wa kisasa wa RnB, zikiwemo kolabo tatu za uzito na wasanii kama The […]

Read More
 Bien Amtangaza Original Stinger Mshindi wa “A11 My Enemies Are Suffering” Challenge

Bien Amtangaza Original Stinger Mshindi wa “A11 My Enemies Are Suffering” Challenge

Mwanamuziki Bien Baraza ametangaza msanii chipukizi Original Stinger kuwa mshindi wa shindano lake la mtandaoni “All My Enemies Are Suffering Challenge” Katika tangazo hilo, Bien ameeleza kuwa Original Stinger alishinda kutokana na ubunifu, utofauti na kiwango cha juu cha utendaji katika kazi yake, ambacho kilimtofautisha na washiriki wengine wengi waliokuwa wamejitokeza. Bien amemzawadia mshindi huyo […]

Read More
 Nandy na Billnass Wavishana Pete Tena Baada ya Kwanza Kupotea

Nandy na Billnass Wavishana Pete Tena Baada ya Kwanza Kupotea

Wasanii wa Bongo Fleva, Nandy na Billnass,wamevalishana pete kwa mara nyingine tena baada ya pete yao ya kwanza kuripotiwa kupotea. Nandy amethibitishwa tukio hilo kupitia Instastory yake, ambapo ameshiriki video ikionyesha wakitoka kanisani ambako walienda mahsusi kwa ajili ya kufanyiwa ibada maalum na kupata baraka kutoka kwa mchungaji Katika video hiyo, wanandoa hao wanaonekana wakiwa […]

Read More
 Mjaka Mfine Akanusha kutoka Kimapenzi na Mokaya

Mjaka Mfine Akanusha kutoka Kimapenzi na Mokaya

Content creator kutoka Kenya Mjaka Mfine amevunja ukimya na kukanusha madai yanayoendelea mtandaoni kwamba ana uhusiano wa kimapenzi na rafiki yake aitwaye Mokaya. Akizungumza katika mahojiano na Shiksha Arora, Mrembo huyo amefafanua kuwa madai hayo hayana msingi na kwamba uhusiano wao uko kwenye misingi ya kazi pekee. Mjaka amesema kuwa yeye na Mokaya wamekuwa wakifanya […]

Read More
 Kocha wa Gor Mahia Ataja Kocha Bora wa Ligi Kuu Mwezi Oktoba

Kocha wa Gor Mahia Ataja Kocha Bora wa Ligi Kuu Mwezi Oktoba

Mkufunzi wa Gor Mahia Charles Akonnor ametajwa kuwa kocha bora wa ligi kuu nchini mwezi wa Oktoba. Akonnor, ambaye anaifunza Gor Mahia kwa mara ya kwanza aliiongoza kunyakua ushindi mara tatu mtawalia dhidi ya KCB,Posta Rangers na Mathare United. Msururu huo wa kutoshindwa uliiwezesha Gor kuchupa hadi kileleni pa msururu wa ligi kuu ambapo wanaongoza […]

Read More
 WhatsApp Kuanza Kupokea Jumbe kutoka Apps Nyingine

WhatsApp Kuanza Kupokea Jumbe kutoka Apps Nyingine

Meta imetangaza kuwa WhatsApp itaanza kuruhusu watumiaji wa barani Ulaya kutuma na kupokea jumbe kutoka apps nyingine kama BirdyChat na Haiket. Watumiaji wataweza kutuma text, picha, sauti, video na files kwa watumiaji wa apps nyingine. Hii itasaidia watu kutumiaji wa apps nyingine kuwa na uwezo wa kuchat na watumiaji wa WhatsApp bila kulazimika kuwa na […]

Read More
 Burna Boy Aomba Radhi Baada ya Madai ya Kuwadhalilisha Mashabiki wake

Burna Boy Aomba Radhi Baada ya Madai ya Kuwadhalilisha Mashabiki wake

Mwanamuziki nyota wa Afrobeat, Burna Boy, ameomba radhi kwa mashabiki wake kufuatia wimbi la lawama lililotanda mtandaoni, baada ya madai kuibuka kwamba aliwaita baadhi ya wafuasi wake masikini. Kupitia ujumbe mrefu alioutoa mtandaoni, Burna Boy amejitetea akisema kuwa mara nyingi matendo yake mema hayapewi nafasi, lakini akifanya jambo lolote linaloonekana kama kosa, ndipo linapoenezwa kwa […]

Read More
 Harmonize Afunguka Sababu za Kunyoa Kipara

Harmonize Afunguka Sababu za Kunyoa Kipara

Staa wa Bongo Fleva Harmonize amejibu lawama na dhana zilizokuwa zikisambaa mtandaoni baada ya mashabiki na wadau mbalimbali kudai kuwa amemuiga msanii wa Nigeria, Asake, kutokana na muonekano wake mpya wa kunyoa kipara. Kupitia InstaStory, ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kunyoa kipara hauna uhusiano wowote na msanii huyo wa Afrobeat kama inavyodaiwa. Amesema kuwa […]

Read More
 Eddy Kenzo Adai Chama cha NUP Kimepoteza Umaarufu Uganda

Eddy Kenzo Adai Chama cha NUP Kimepoteza Umaarufu Uganda

Msanii nyota wa Uganda, Eddy Kenzo, ameibua mjadala mpya baada ya kudai kuwa chama cha National Unity Platform (NUP) kimepoteza umaarufu mkubwa nchini Uganda ikilinganishwa na siku za awali za vuguvugu la People Power. Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini humo, msanii huyo ameweka wazi kuwa wanachama wengi wa NUP wanakata tamaa […]

Read More
 Nyota Ndogo Apagawa na Remix ya Pawa ya Mbosso

Nyota Ndogo Apagawa na Remix ya Pawa ya Mbosso

Msanii mkongwe wa Pwani, Nyota Ndogo, ameshindwa kuficha furaha yake baada ya kutimia kwa ombi lake la muda mrefu kufuatia kuachiwa kwa remix mpya ya wimbo wa Pawa ambayo Mbosso amemshirikisha rapa Khaligraph Jones. Hii ni baada ya Mbosso kuzindua remix tatu tofauti za wimbo huo, akiwapa nafasi wasanii kutoka Tanzania, Rwanda na Kenya. Kupitia […]

Read More