Pritty Vishy Akanusha Kutumia Uhusiano na Stevo Simple Boy Kutafuta Umaarufu

Pritty Vishy Akanusha Kutumia Uhusiano na Stevo Simple Boy Kutafuta Umaarufu

Mwanamitindo na mshawishi wa mitandaoni, Pritty Vishy, amejibu madai ya msanii Stevo Simple Boy kwamba alitumia uhusiano wao wa kimapenzi kama njia ya kujitafutia umaarufu. Akipiga stori na Podcast ya Mylee Staicey, Pritty Vishy amesema madai hayo hayana msingi wowote, akisema Stevo ndiye aliyewahi kukataa dili la mamilioni ya fedha kutoka kwa kampuni mmoja iliyotaka […]

Read More
 Huddah Monroe Akosoa Kampuni za Ulinzi Kenya

Huddah Monroe Akosoa Kampuni za Ulinzi Kenya

Mjasiriamali na mshawishi wa mitandaoni, Huddah Monroe, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kukosoa kampuni za ulinzi nchini Kenya kwa kuendelea kuwapa wanawake, wakiwemo single mothers, zamu za usiku. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Huddah ametaja kuwa ni jambo lisilo la kawaida kwa wanawake kupewa zamu za usiku wakati wanahitajika zaidi nyumbani kwa ajili ya […]

Read More
 Charisma Afichua Kukusanya zaidi ya Bra 400 Kutoka kwa Mashabiki wa kike

Charisma Afichua Kukusanya zaidi ya Bra 400 Kutoka kwa Mashabiki wa kike

Msanii wa RnB kutoka Kenya, Charisma, amefichua tukio la aina yake kuhusu namna mashabiki wake wa kike wamekuwa wakionyesha mapenzi yao kwake wakati wa maonyesho yake ya muziki. Akizungumza katika mahojiano na Zoza Podcast, Charisma amesema hadi sasa amekusanya jumla ya bra 404 zilizotupwa jukwaani wakati akiwa kwenye perfomance Amesema kwamba hakuwahi kutarajia kuishia na […]

Read More
 Rayvanny Afichua Mpango wa Kufanya EP na Wasanii Chipukizi

Rayvanny Afichua Mpango wa Kufanya EP na Wasanii Chipukizi

Mwanamuziki nyota wa Tanzania, Rayvanny, ametangaza mpango mpya wa kuibua vipaji kwa kutengeneza EP maalum akiwashirikisha wasanii chipukizi kutoka mitaani. Kupitia mitandao ya kijamii, Rayvanny amesema lengo ni kuwapa nafasi vijana wenye uwezo mkubwa lakini wasio na majukwaa ya kujitangaza. Ameongeza kuwa safari yake ya mafanikio ilisaidiwa na watu waliomuamini, hivyo hana budi kuwarudishia fadhila […]

Read More
 Mbio za Baiskeli Barani Afrika Yaanza Kwale

Mbio za Baiskeli Barani Afrika Yaanza Kwale

Makala ya  2025 ya mbio za basikeli barani Afrika yalianza leo kwenye uwanja wa Absa Diani, kaunti ya Kwale. Kiros Tsige wa Ethiopia aliibuka mshindi kwenye mashindano ya mbio za kilomita 14 baada ya kuadikisha muda wa dakika 10 nasekunde 56.979. Alifuatwa na Tesfu Adyam wa Eritrea kwa muda wa dakika 11 na sekunde 02.866 […]

Read More
 Charisma Anua Gari Jipya la Kifahari Kutokana Mafaniko ya Muziki

Charisma Anua Gari Jipya la Kifahari Kutokana Mafaniko ya Muziki

Mwimbaji wa Kenya Charisma ameonyesha hatua kubwa aliyofikia katika safari yake ya muziki baada ya kutambulisha Mercedes-Benz E-Class yake mpya, hatua anayosema inaakisi vilele na mabonde aliyopitia kwenye tasnia. Kupitia mitandao ya kijamii, Charisma ameshukuru mashabiki wake wote kwa kumuunga mkono, akisisitiza kuwa bila wao asingefika mahali alipo leo. Amesema safari yake ya muziki imejaa […]

Read More
 Mbosso Kuachia Version Tatu za “Pawa” Kutoka Kenya, Tanzania na Rwanda

Mbosso Kuachia Version Tatu za “Pawa” Kutoka Kenya, Tanzania na Rwanda

Mwanamuziki nyota wa Bongofleva, Mbosso, ametangaza kuwa anajiandaa kuachia version tatu tofauti za wimbo wake “Pawa,”. Kila version itawashirikisha wasanii wakubwa kutoka ukanda wa Afrika Mashariki hasa mataifa ya Kenya, Tanzania na Rwanda Katika version ya Kenya, Mbosso amewashirikisha nyota wawili, Bien wa Sauti Sol na mfalme wa rap nchini Kenya, Khaligraph Jones.Toleo la Tanzania […]

Read More
 MC Pilipili Azikwa katika Makaburi ya Kilimo Kwanza, Dodoma

MC Pilipili Azikwa katika Makaburi ya Kilimo Kwanza, Dodoma

Mchekeshaji na mshereheshaji wa matukio Emmanuel Mathias Matebe, maarufu kama MC Pilpili, amepumzishwa kwenye nyumba yake ya milele katika makaburi ya Kilimo Kwanza jijini Dodoma leo, Novemba 20, 2025. Mamia ya waomboleza, wakiwemo wasanii, ndugu, marafiki na viongozi wa dini, walijitokeza kumuaga mchekeshaji huyo aliyekuwa akipendwa na wengi kutokana na kipaji chake cha kuiburudisha jamii. […]

Read More
 Gloria Bugie Akana Madai ya Kuchumbiana na Wanaume Walio kwenye Ndoa

Gloria Bugie Akana Madai ya Kuchumbiana na Wanaume Walio kwenye Ndoa

Msanii wa muziki kutoka Uganda, Gloria Bugie, ameweka wazi msimamo wake kuhusu mahusiano, akisema kwa uthabiti kwamba hatawahi kuchumbiana na mwanaume aliye kwenye ndoa. Akipiga stori na kituo kimoja cha habari, Gloria amedai kuwa hajawahi kuwa kwenye uhusiano wa aina hiyo, na kwamba anajithamini kiasi cha kutoshiriki mwanaume na mwanamke mwingine. Amesema kuwa wanaume walio […]

Read More
 Naibu Rais Kithure Kindiki Atoa Msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa Watoto wa Marehemu Betty Bayo

Naibu Rais Kithure Kindiki Atoa Msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa Watoto wa Marehemu Betty Bayo

Naibu Rais wa Kenya, Kithure Kindiki, ameahidi kutoa msaada wa shilingi milioni tano kuwasaidia watoto wa marehemu mwimbaji wa injili Betty Bayo, aliyezikwa leo katika eneo la Mugumo Estate, Kaunti ya Kiambu. Akihutubia waomboleza katika ibada ya mazishi, Kindiki amesema kuwa mara tu akaunti ya watoto hao itakapofunguliwa rasmi, atawasilisha msaada huo bila kuchelewa ili […]

Read More
 Betty Bayo Azikwa Nyumbani kwake Kiambu

Betty Bayo Azikwa Nyumbani kwake Kiambu

Mwimbaji nyota wa Injili nchini Kenya, Betty Bayo, amezikwa leo nyumbani kwake, Mugumo Estate katika kaunti ya Kiambu. Maelfu ya waombolezaji, wakiwemo viongozi wa kidini, wasanii wenzake, na mashabiki waaminifu, walijitokeza kwa wingi kushiriki ibada ya mazishi iliyofanyika katika uga wa Ndumberi kutoa heshima zao za mwisho. Waliohudhuria mazishi hayo wakiwemo viongozi wa kisiasa walimtaja […]

Read More