Phoina Akanusha Kuwa Katika Mahusiano na Khalif Kairo

Phoina Akanusha Kuwa Katika Mahusiano na Khalif Kairo

Mjasiriamali maarufu wa urembo, Phoina, ameibuka na kukanusha madai kwamba yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mfanyabiashara wa magari Khalif Kairo, baada ya video yao kusambaa mtandaoni ikionyesha wakipigana mabusu hadharani. Video hiyo, ambayo imezua gumzo kubwa mitandaoni, ilionekana kuonyesha ukaribu wa wawili hao, hatua iliyowafanya mashabiki na watumiaji wa mitandao ya kijamii kuanza kukisia […]

Read More
 Bien Akana Utambulisho Wake Asema Yeye ni Gen Z

Bien Akana Utambulisho Wake Asema Yeye ni Gen Z

Mwanamuziki wa Sauti Sol, Bien, ameibua mazungumzo mtandaoni baada ya kueleza kuwa anajitambulisha kama Gen Z na si millennial kama umri wake unavyopendekeza. Akiwa kwenye mahojiano ya That Zed Podcast, Bien ameelezea mtazamo wake kwamba kizazi hakipaswi kuamuliwa na mwaka wa kuzaliwa pekee, bali pia namna mtu anavyohisi na kujiweka katika ulimwengu wa sasa. Katika […]

Read More
 Bebe Cool Adai NUP ya Bobi Wine Ina Maandalizi Duni Kisiasa

Bebe Cool Adai NUP ya Bobi Wine Ina Maandalizi Duni Kisiasa

Mwanamuziki mkongwe nchini Uganda, Bebe Cool, ameibuka tena na ukosoaji mkali dhidi ya Bobi Wine na chama chake cha National Unity Platform (NUP), akidai kuwa upinzani huo hauna uwezo wala maandalizi ya kutosha kuongoza Uganda. Kwenye mahojiano na chombo kimoja cha habari nchini humo, Bebe Cool ameeleza kuwa kutofanikiwa kwa NUP kuteua wagombea katika maeneo […]

Read More
 Msanii BillNass Aonyesha Mali Zilizookolewa Kwenye Moto

Msanii BillNass Aonyesha Mali Zilizookolewa Kwenye Moto

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, BillNass, ameibuka tena kwenye mitandao ya kijamii baada ya ukimya wa muda kufuatia tukio la ghasia za Uchaguzi Mkuu lililosababisha duka lake la Nenga Tronix kuchomwa moto. Kupitia WhatsApp Status, BillNass alichapisha video fupi inayoonyesha baadhi ya mali zilizookolewa, ikiwemo simu, laptop, na pesa taslimu zilizobaki salama licha ya […]

Read More
 Akothee Atoka Hospitalini Baada ya Matatizo ya Tumbo

Akothee Atoka Hospitalini Baada ya Matatizo ya Tumbo

Msanii asiyeishiwa na matukio kila leo, Akothee, ameibuka na taarifa njema kwa mashabiki wake baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini kufuatia kulazwa kwa muda kutokana na matatizo ya tumbo. Akizungumza mara baada ya kutoka hospitalini, Akothee ametoa shukrani za dhati kwa wote waliomuombea apone haraka na waliomtumia salamu za faraja wakati wa kipindi hicho kigumu. Ameeleza […]

Read More
 Khaligraph Jones Azindua Rasmi Rap Battle ya Wimbo Wake Mpya “Weyuat”

Khaligraph Jones Azindua Rasmi Rap Battle ya Wimbo Wake Mpya “Weyuat”

Msanii nguli wa muziki wa rap nchini Kenya, Khaligraph Jones, ameanzisha rasmi rap battle ya wimbo wake mpya “Weyuat” baada ya kupata shinikizo kutoka kwa mashabiki wake mitandaoni. Khaligraph amesema awali hakupanga kufanya challenge hiyo, lakini mashabiki wake waliamua kuigeuza kuwa challenge rasmi. Amesema atapakia instrumental ya wimbo huo ili rappers wote wanaohisi wana uwezo […]

Read More
 Pastor Kanyari Akana Kufahamishwa Kuhusu Ugonjwa wa Betty Bayo

Pastor Kanyari Akana Kufahamishwa Kuhusu Ugonjwa wa Betty Bayo

Mchungaji Victor Kanyari amekanusha madai kwamba aliwahi kufahamishwa kuhusu ugonjwa wa mkewe wa zamani, marehemu Betty Bayo, kabla ya kifo chake. Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, amesema taarifa za kifo cha Betty zilimuumiza sana, akieleza kuwa kama angeambiwa mapema kuhusu hali yake, angejitahidi kumsaidia kadri ya uwezo wake. Kanyari amepuzilia mbali madai kwamba hakumpenda […]

Read More
 Shiru wa GP Afichua Wosia wa Mwisho wa Betty Bayo

Shiru wa GP Afichua Wosia wa Mwisho wa Betty Bayo

Mwanamuziki wa nyimbo za injili kutoka Kenya, Shiru wa GP, amefunguka kuhusu ombi la mwisho la marehemu Betty Bayo, aliyefariki dunia mnamo Novemba 10, 2025, akisema hakutaka kupigwa picha yoyote alipokuwa hospitalini. Shiru amesema kuwa Betty alimwambia wazi kuwa alikuwa amepambana vya kutosha na kupitia maneno mengi machungu kwenye mitandao ya kijamii, hivyo hakutaka kuwa […]

Read More