Arsenal Yaendelea Kuchanja Mbuga Kileleni mwa EPL
Klabu ya Arsenal imeendeleza kasi yake ya kusaka taji la Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu baada ya kuibuka na ushindi muhimu wa 1-0 dhidi ya Brighton & HoveAlbion katika uwanja wa Amex. Bao la pekee la mshambuliaji Bukayo Saka katika dakika ya 9 lilitosha kuwapa Gunners alama tatu muhimu na kuongeza mwanya wa uongozi kileleni kufikia alama saba. Wakati Arsenal […]
Read More