Entertainment

DR. OFWENEKE AKANUSHA KUWA KWENYE UGOMVI NA AKOTHEE

DR. OFWENEKE AKANUSHA KUWA KWENYE UGOMVI NA AKOTHEE

Mchekeshaji Dr. Ofweneke amekanusha kuwa kwenye bifu na Akothee baada ya kumtaka mwimbaji huyo amlipe shilllingi millioni 1.4 ili awe mshereheshaji(MC) kwenye hafla ya harusi yake.

Kwenye mahojiano na Mpasho Ofweneke amesema hana ugomvi na mwanamama huyo wa watoto 5 kama namna watu wanavyohoji kwenye mitandao ya kijamii kwani ni marafiki wakubwa.

Mchekeshaji huyo amesema ana imani kuwa Akothee ana uwezo mkubwa wa kumlipa pesa hizo kwani bado wapo kwenye mchakato wa kukamilisha mazungumzo kati yao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *