
Hitmaker wa “Pombe” msanii Iyanii ametangaza ujio wa ngoma yake mpya ambayo amemshirisha mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Size 8.
Iyanii amethibitisha hilo kupitia instastory ysake kwenyemtandao wa instagram kwa video clip fupi akiwa na Size 8 kwenye mazingira ya studio yenye caption inayoashiria kuwa kuna uwezekano wa Iyanii kufanya wimbo wa pamoja na himaker huyo wa Mateke.
Hajafahamika kama wimbvo huo utakuwa wa injili au wa kidunia ila itakuwa ni kazi ya kwanza kwa Iyanii na Size 8 ikiziingatiwa kuwa wawili hao hawajahi fanya wimbo wa pamoja.
Huu ni muendelezo mzuri kwa Iyanii ambaye katika siku za hivi karibuni amekuwa akiachia nyimbo mfululizo bila kupoa.