Entertainment

MR SEED ADOKEZA KOLABO NA GUCHI KUTOKA NIGERIA

MR SEED ADOKEZA KOLABO NA GUCHI KUTOKA NIGERIA

Mwimbaji nyota nchini Mr. Seed licha ya kuwa anaendela kufanya vizuri na wimbo wake “Pressure”, mkali huyo hataki kupoa, ametumia wikiendi hii iliyopita kurekodi ngoma mpya.

Mr. Seed amepost misururu ya picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa studio na Guchi wakiwa wanarekodi, hali inayoashiria kuwa wawili hao wapo mbioni kuachia wimbo wa pamoja.

Guchi amekuwa nchini kwa ajili ya tamasha lakr la kimuziki ambalo limekamilika wikindi iliyopita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *