Gossip

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi mbioni kupata mtoto wa pili

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi mbioni kupata mtoto wa pili

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee na mchumba wake Rotimi baada ya kuweka wazi wanatarajia kupata mtoto wao wa pili pamoja, na ni mtoto wa Kike, hatimaye wameamua kuonyesha ujauzito wa kijacho hicho ulipofikia.

Wote wameshare video hiyo kupitia kurasa zao za Instagram. Aidha, wawili hao wameamua kufanya hivyo pia wakipromote na smash hit ya Rotimi akishirikiana na Nektunez iitwayo “Make You Say”. Link kwenye bio yaΒ Rotimi.

Itakumbukwa, wawili hao mtoto wao wa kwanza ni wa Kiume aitwaye Seven, walibarikiwa kumpata Septemba mwaka 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *