Mama Anayedai Kuwa Mzazi wa Bahati Akataa Matokeo ya DNA

Mama Anayedai Kuwa Mzazi wa Bahati Akataa Matokeo ya DNA

Mama anayedai kuwa mzazi wa msanii Bahati ameibuka na madai mapya akidai kuwa msanii huyo alihonga madaktari ili kubadilisha matokeo ya vipimo vya DNA. Kupitia video inayosambaa mitandaoni, mama huyo ameonyesha kutoridhishwa kwake na matokeo ya vipimo hivyo yaliyotolewa na maabara, ambayo yalionyesha kuwa hakuna uhusiano wa kibaiolojia kati yake na Bahati. Katika maelezo yake, […]

Read More
 Video ya Bahati Akifunzwa Kuvuta Cigar Yazua Gumzo Mtandaoni

Video ya Bahati Akifunzwa Kuvuta Cigar Yazua Gumzo Mtandaoni

Video inayomuonyesha msanii wa muziki kutoka Kenya, Bahati, akifunzwa namna ya kuvuta cigar imezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kusambaa mtandaoni. Katika video hiyo ya nyuma ya pazia (behind the scenes) ya utayarishaji wa diss track yake inayojulikana kama “Lost for the Throne,” Bahati anaonekana akielekezwa jinsi ya kushika na kuvuta cigar […]

Read More
 Bahati Ashindwa Kujizuia Baada ya Kukutana na Mwanamke Aliyedai kuwa Mama yake Mzazi

Bahati Ashindwa Kujizuia Baada ya Kukutana na Mwanamke Aliyedai kuwa Mama yake Mzazi

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Bahati, ameshindwa kujizuia baada ya kukutana ana kwa ana na mwanamke aliyedai kuwa ndiye mama yake mzazi mwishoni mwaka 2025. Katika video inayoenea mtandaoni, Bahati ameonekana kuguswa sana na tukio la mwanamke huyo kumkumbatia kwa muda mrefu huku akilia kwa uchungu. Kwenye video hiyo, Mama huyo ameoneka akiomba Mungu msamaha […]

Read More
 Bahati na Diana Marua Wazua Tetesi Baada ya Kufuta Picha Zote Instagram

Bahati na Diana Marua Wazua Tetesi Baada ya Kufuta Picha Zote Instagram

Staa wa muziki Bahati na mkewe Diana Marua wamezua gumzo mitandaoni baada ya kubainika kuwa wameacha kufuatana (unfollow) kwenye mtandao wa Instagram. Hatua hiyo imewashangaza mashabiki wao wengi, hasa ikizingatiwa kuwa wawili hao wamekuwa wakionekana kama wanandoa wanaoheshimika zaidi kupitia mitandao ya kijamii. Kinachozidi kuzua maswali ni kwamba kila mmoja wao amefuta picha zote zilizokuwa […]

Read More
 Bahati Ampongeza Jux Kwa Kuiwakilisha Afrika Kimuziki, Azua Tetesi za Wimbo Mpya

Bahati Ampongeza Jux Kwa Kuiwakilisha Afrika Kimuziki, Azua Tetesi za Wimbo Mpya

Staa wa muziki nchini Kenya, Bahati, amempongeza nyota wa Bongo Fleva Jux kwa mafanikio makubwa anayoyapata kimuziki, akisema kuwa ushindi wake ni baraka kwa Afrika na pia chanzo cha shinikizo kwa wasanii wengine kufanya kazi kwa bidii zaidi. Kupitia mitandao ya kijamii, Bahati ameeleza kufurahishwa na jinsi Jux anavyopeperusha bendera ya Afrika katika anga ya […]

Read More
 Bahati Awaomba Mashabiki Ushauri wa Mabadiliko Mwaka wa 2026

Bahati Awaomba Mashabiki Ushauri wa Mabadiliko Mwaka wa 2026

Msanii wa muziki kutoka Kenya, Bahati, amewashangaza mashabiki wake baada ya kuwaomba hadharani wamsaidie kwa kumpa ushauri wa mambo anayopaswa kubadilisha au kuboresha kuelekea mwaka wa 2026. Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mitandao ya kijamii, Bahati amesema kuwa mwaka mpya unampa nafasi ya kujipima upya kama msanii, mume na baba, huku akisisitiza kuwa maoni ya mashabiki […]

Read More
 Bahati Ajitangaza Msanii Mwenye Mafanikio Zaidi Kenya

Bahati Ajitangaza Msanii Mwenye Mafanikio Zaidi Kenya

Msanii nyota wa muziki nchini Kenya, Bahati, ametangaza kuwa yeye ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa zaidi kuwahi kutokea nchini humo. Bahati ametoa kauli hiyo alipokuwa akiwatakia mashabiki wake sikukuu njema ya Krismasi, akiwa pamoja na mke wake Diana B na watoto wao, akisema safari yake ya muziki imejaa baraka, mafanikio na ushindi mkubwa unaoonekana wazi […]

Read More