DAVID WONDER ANYOSHA MAELEZO KUHUSU BIFU LAKE NA BAHATI

DAVID WONDER ANYOSHA MAELEZO KUHUSU BIFU LAKE NA BAHATI

Msanii wa nyimbo za injili nchini David Wonder amefunguka kuhusu ishu ya kuwa kwenye bifu na staa wa muziki nchini Bahati mara baada ya nyimbo zake alizofanya na msanii huyo akiwa chini ya lebo ya EMB kufutwa kwenye mtandao wa Youtube. Akipiga stori na mwanahabari Nicholas Kioko kwenye mtandao wa Youtube David Wonder amesema hana […]

Read More
 BAHATI ATUHUMIWA KUIBA IDEA YA WIMBO WA JE UNANIFIKIRIA KUTOKA KWA MARIOO

BAHATI ATUHUMIWA KUIBA IDEA YA WIMBO WA JE UNANIFIKIRIA KUTOKA KWA MARIOO

Mkali wa muziki nchini Bahati ameingia tena katika mijadala kwenye mitandao nchini  baada ya kudaiwa kuiba  idea ya wimbo wa  ‘For You’ wa msanii  wa Bongofleva Marioo Kulingana na ripoti inayosambaa mitandaoni, inadaiwa Bahati ametumia mdundo na ubunifu wa video wa wimbo huo kwenye wimbo wake mpya wa”Je unanifikiria”, hivyo kuibua maswali mengi miongoni mwa […]

Read More
 BAHATI APEWA TUZO BOOMPLAY

BAHATI APEWA TUZO BOOMPLAY

Nyota wa muziki nchini Bahati ametunukiwa tuzo ya silver Plaque na mtandao wa kupakua na kusikiliza muziki wa boomplay Kenya. Hii ni baada hitmaker huyo wa “Pete yangu” kufikisha zaidi ya streams millioni 8 kupitia nyimbo zake zote zilizopakiwa kwenye mtandao  huo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram bahati amewashukuru mashabiki zake kwa kuendelea kufuatilia kazi […]

Read More