Bahati Akanusha Kutumia Sakata la Mwanamke Aliyedai ni Mamake kuwa Kiki

Bahati Akanusha Kutumia Sakata la Mwanamke Aliyedai ni Mamake kuwa Kiki

Msanii wa muziki nchini Keny, Bahati, amekanusha madai kwamba anatumia sakata la mwanamke aliyejitokeza akidai ni mama yake mzazi kama mbinu ya kujipatia umaarufu mitandaoni. Bahati amesema tukio hilo limemshangaza kwa kuwa halikuwa sehemu ya mipango yake ya kujipatia kiki. Amefafanua kwamba mwanamke huyo amekuwa akimtafuta kwa zaidi ya miaka mitano, na hata aliwahi kuwasiliana […]

Read More
 Mwanamke Ajitokeza Akidai Ni Mama Halisi wa Msanii Bahati 

Mwanamke Ajitokeza Akidai Ni Mama Halisi wa Msanii Bahati 

Mwanamke mmoja ameibuka akidai kuwa ndiye mama mzazi wa staa wa muziki nchini Kenya, Bahati. Mwanamke huyo anasema kuwa hajawahi kufariki, kinyume na imani iliyokuwa imeenea kwa miaka mingi, na kwamba mazingira ya umaskini aliyokumbana nayo zamani ndiyo yaliyosababisha kumpoteza mtoto wake. Anasema kuwa wakati huo alikabiliwa na changamoto ambazo zilimfanya ashindwe kumlea Bahati, na […]

Read More
 Bahati Ajigamba Kuwa Msanii Pekee Kenya Mwenye Nyimbo Tatu Zinazotrend YouTube

Bahati Ajigamba Kuwa Msanii Pekee Kenya Mwenye Nyimbo Tatu Zinazotrend YouTube

Msanii asiyeishiwa na matukio kila leo, Bahati, ameibuka tena mtandaoni akijigamba kuwa ndiye msanii pekee nchini Kenya mwenye nyimbo tatu zinazotamba kwenye orodha ya video kumi bora zaidi kwenye mtandao wa YouTube. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Bahati ameeleza kuwa anajivunia mafanikio hayo makubwa katika muziki wake, akisema ni heshima kubwa kwake kuona […]

Read More
 Bahati Azima Tetesi za Baby Mama wake Kuvishwa Pete ya Uchumba

Bahati Azima Tetesi za Baby Mama wake Kuvishwa Pete ya Uchumba

Msanii wa muziki asiyeishiwa na matukio kila kuchao, Bahati, amezima tetesi zilizosambaa mtandaoni kuhusu baby mama wake, Yvette Obura, kuvishwa pete ya uchumba kupitia wimbo wake mpya uitwo First Love. Katika video ya wimbo huo, Yvette Obura na mwanaume anayedaiwa kuwa mchumba wake wameonekana kama video queen na video king, wakicheza nafasi za wapenzi wawili […]

Read More
 Bahati Asema Hana Wivu Baada ya Baby Mama Wake Kuvishwa Pete

Bahati Asema Hana Wivu Baada ya Baby Mama Wake Kuvishwa Pete

Msanii wa muziki nchini Kenya Bahati ameamua kumpongeza mama mtoto wake, Yvette Obura, kwa uchumba wake mpya baada ya kupewa shinikizo na mashabiki wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bahati ametoa ujumbe wa kumpongeza Yvette baada ya video kusambaa mtandaoni ikimuonyesha akivishwa pete ya uchumba na mwanaume mrefu, mwenye ngozi ya kahawia na sura ya […]

Read More
 Bahati Alalamikia Chuki na Wivu Kutoka kwa Wasanii wa Nyimbo za Injili

Bahati Alalamikia Chuki na Wivu Kutoka kwa Wasanii wa Nyimbo za Injili

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Bahati, ameshindwa kuvumilia ukosoaji anaoupata mtandaoni baada ya kuonekana akilia hadharani akielezea machungu anayopitia kutokana na chuki na wivu kutoka kwa baadhi ya wasanii wenzake, hasa wale wa muziki wa Injili. Kupitia video aliyoshiriki kwenye mitandao ya kijamii, Bahati ameonekana mwenye majonzi akisema kwamba kama Mungu angekuwa binadamu, huenda […]

Read More
 Bahati Aomba Msamaha Hadharani Baada ya Ukosoaji Mkubwa wa Mashabiki

Bahati Aomba Msamaha Hadharani Baada ya Ukosoaji Mkubwa wa Mashabiki

Msanii wa muziki mwenye utata kutoka Kenya, Bahati, amelazimika kuomba msamaha hadharani kufuatia wimbi la ukosoaji alilopokea kutokana na maudhui yake mapya tangu arejee kwenye muziki. Kupitia video aliyoipakia kwenye mitandao ya kijamii, Bahati ameeleza kuwa amepokea simu na jumbe nyingi kutoka kwa marafiki wa karibu, mashabiki, wachungaji, na hata watu wasiowajua, wakionesha kutoridhishwa na […]

Read More
 Bahati Asema Mashabiki Wanatamani Maisha Yake na Diana Marua

Bahati Asema Mashabiki Wanatamani Maisha Yake na Diana Marua

Mwanamuziki mwenye utata nchini Kenya, Bahati, ameibua mjadala mtandaoni baada ya kudai kuwa mashabiki wake wanatamani maisha anayoyaishi na mke wake, Diana Marua. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bahati amepakia video akiwa na mkewe Diana wakifurahia mvinyo (wine) huku wakipigana mabusu hadharani licha ya maneno ya watu. Katika video hiyo mpya, Bahati amesema kuwa alikuwa […]

Read More
 Bahati Ajitangaza Msanii Namba Moja Afrika Mashariki

Bahati Ajitangaza Msanii Namba Moja Afrika Mashariki

Staa wa muziki kutoka Kenya, Bahati, amejitangaza kuwa msanii namba moja nchini humo na Afrika Mashariki kwa ujumla baada ya wimbo wake wa kuomboleza kifo cha Raila Odinga kushika nafasi ya kwanza kwenye YouTube Trending Tab. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bahati amesema kuwa nyimbo zake mbili kushika nafasi ya kwanza na ya pili kwa […]

Read More
 Bahati Atangaza Kuachia Wimbo wa Kuomboleza Raila Odinga

Bahati Atangaza Kuachia Wimbo wa Kuomboleza Raila Odinga

Mwanamuziki kutoka Kenya, Bahati, ametangaza kuwa ataachia wimbo maalum wa kuomboleza kifo cha kiongozi wa ODM, Raila Odinga, mchana wa leo. Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Bahati amesema kuwa wimbo huo ni njia yake ya kumuenzi kiongozi huyo ambaye, kwa mujibu wake, amekuwa nguzo muhimu katika siasa za Kenya na amegusa maisha ya […]

Read More