BAHATI AIDHINISHWA NA TUME YA UCHAGUZI NCHINI KENYA KUWANIA UBUNGE MATHARE

BAHATI AIDHINISHWA NA TUME YA UCHAGUZI NCHINI KENYA KUWANIA UBUNGE MATHARE

Mwanamuziki aliyegeukia siasa Bahati ameshindwa kuficha furaha yake baada ya tume ya IEBC kumuidhinisha kuwa atawania ubunge wa Mathare kwenye uchaguzi mkuu ujao kupitia Tiketi ya chama cha Jubilee. Kupitia ukurasa wake wa instagram bahati ameandika waraka mrefu wa kuwashukuru kumshukuru mungu, chama cha jubilee na watu wa mathare kwa kumpa nafasi ya kuwawakilisha kwenye uchaguzi mkuu wa […]

Read More
 BAHATI AFIKISHA SUBSCRIBERS MILLIONI MOJA YOUTUBE

BAHATI AFIKISHA SUBSCRIBERS MILLIONI MOJA YOUTUBE

Nyota wa muziki nchini Bahati amefikisha idadi ya subscribers Milioni 1 kwenye mtandao wa Youtube. Bahati ambaye alijiunga na mtandao wa youtube Agosti 7, mwaka 2012  amepata subscribers wengi kutokana na kazi zake mbalimbali anazoziweka katika mtandao huo. Baadhi ya matukio anayoyaweka  katika channel yake ni shoo anazozifanya, video zake za muziki pamoja na utayarishaji wa video za […]

Read More
 BAHATI AKABIDHIWA CHETI CHA KUWANIA UBUNGE MATHARE KUPITIA CHAMA CHA JUBILEE

BAHATI AKABIDHIWA CHETI CHA KUWANIA UBUNGE MATHARE KUPITIA CHAMA CHA JUBILEE

Staa wa muziki nchini Bahati ameshindwa kuficha furaha yake baada ya kukabidhiwa tena cheti chake cha kuwania ubunge mathare kupitia  chama cha Jubilee Katika mkao na wanahabari bahati amemshukuru Rais Uhuru Kenyatta kwa kumpa nafasi tena kuwania ubunge kwa tiketi ya chama cha Jubilee na kinara wa ODM Raila Odinga kwa kumuamini kugombea ubunge wa mathare kupitia mwavuli wa Azimio […]

Read More
 BAHATI ANYANG’ANYWA CHETI CHA KUWANIA UBUNGE MATHARE

BAHATI ANYANG’ANYWA CHETI CHA KUWANIA UBUNGE MATHARE

Mwanamuziki aliyegeukia siasa Bahati amenyang’anywa tiketi ya kuwania ubunge wa Mathare kupitia chama cha Jubilee ikiwa ni siku chache zimepita tangu ashinde kwenye uchaguzi wa mchujo wa chama hicho. Katika mkao na wanahabari Bahati amesema alishurutishwa kujiuzulu kama mgombea wa kiti cha ubunge wa Mathare katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 mwaka huu baada ya […]

Read More
 BAHATI NA DIANA MARUA WATANGAZWA MABALOZI WA OPPO KENYA

BAHATI NA DIANA MARUA WATANGAZWA MABALOZI WA OPPO KENYA

Kampuni ya OPPO inayojishughulisha na  uzalishaji na usambazaji wa simu na vifaa vingine vya kielectroniki imemtangaza rasmi  Bahati na mke wake Diana Marua kuwa mabalozi wake. Katika taarifa rasmi iliyochapishwa kwenye mtandao wa instagram katika page ya Oppo Kenya imeeleza kuwa wamefurahi kumkaribisha Bahati pamoja na Diana Marua kuwa balozi wa Oppo. “We partnered with […]

Read More
 BAHATI AFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUSHINDWA KULIPA DENI LA SHILLINGI 150,000 ZA KENYA

BAHATI AFUNGULIWA MASHTAKA KWA KUSHINDWA KULIPA DENI LA SHILLINGI 150,000 ZA KENYA

Mwanamuziki aliyegeukia siasa nchini Kenya Bahati amefunguliwa mashtaka na kampuni ya ya mawakili ya Katunga Mbuvi & Co Advocates kwa madai ya kushindwa kumlipa mpiga picha mmoja shillingi 150000 baada ya kumfanyia kazi. Kupitia barua rasmi waliyomuandikia Bahati tarehe 30 mwezi machi mwaka huu,  kampuni hiyo imemtaka msanii huyo kumlipa mteja wao aitwaye Jeremiah Mathambu […]

Read More
 MR. SEED AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UKARIBU WAKE NA BAHATI

MR. SEED AFUNGUKA MAZITO KUHUSU UKARIBU WAKE NA BAHATI

Msanii nyota nchini Mr Seed amemuandika waraka mrefu msanii mwenzake Bahati baada ya hitmaker huyo wa ngoma ya Adhiambo kuweka wazi azma yake ya kuwania ubunge wa Mathare kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kupitia waraka huo ambao aliuandika kupitia ukurasa wake wa Instagram Mr. Seed ameeleza namna alivyokula maisha ya taabu na bahati wakiwa […]

Read More
 BAHATI ATANGAZA MSIMAMO WAKE KISIASA, AACHIA WIMBO UNAOMPIGIA DEBE RAILA ODINGA KWENYE AZMA YAKE YA URAIS.

BAHATI ATANGAZA MSIMAMO WAKE KISIASA, AACHIA WIMBO UNAOMPIGIA DEBE RAILA ODINGA KWENYE AZMA YAKE YA URAIS.

Staa wa muziki nchini Bahati amehamua kutangaza msimamo wake wa kisiasa ikiwa ni siku chache imepita tangu msanii mwenzake Willy Paul atangaze kumuunga mkono kinara wa ODM Raila Odinga. Kupitia wimbo wake mpya uitwao Fire ambao amemshirika Raila Odinga bahati ameonekana kumwagia sifa kinara huyo wa chama odm jambo ambalo limetafsiriwa moja kwa moja kuwa […]

Read More