Bebe Cool: Serikali Uganda Kuanzisha Leseni kwa Content Creators

Bebe Cool: Serikali Uganda Kuanzisha Leseni kwa Content Creators

Msanii mkongwe kutoka Uganda, Bebe Cool, amefichua kuwa serikali iko katika hatua za mwisho za kuanzisha mfumo wa kutoa leseni kwa watengenezaji wa maudhui ya kidijitali wanaofanya kazi kupitia majukwaa kama YouTube na TikTok. Akizungumza kwenye moja ya podcast nchini humo, Bebe Cool alisema mpango huo unalenga kudhibiti maudhui ya mitandaoni na kuhakikisha matumizi yenye […]

Read More
 Bebe Cool Adai NUP ya Bobi Wine Ina Maandalizi Duni Kisiasa

Bebe Cool Adai NUP ya Bobi Wine Ina Maandalizi Duni Kisiasa

Mwanamuziki mkongwe nchini Uganda, Bebe Cool, ameibuka tena na ukosoaji mkali dhidi ya Bobi Wine na chama chake cha National Unity Platform (NUP), akidai kuwa upinzani huo hauna uwezo wala maandalizi ya kutosha kuongoza Uganda. Kwenye mahojiano na chombo kimoja cha habari nchini humo, Bebe Cool ameeleza kuwa kutofanikiwa kwa NUP kuteua wagombea katika maeneo […]

Read More
 Msanii Mkongwe Bebe Cool Aingia Kwenye Bifu na Msanii Mtukutu Alien Skin

Msanii Mkongwe Bebe Cool Aingia Kwenye Bifu na Msanii Mtukutu Alien Skin

Msanii mkongwe wa muziki nchini Uganda, Bebe Cool, anaripotiwa kuingia kwenye bifu kali na msanii mtukutu Alien Skin, hatua inayotamatisha urafiki wao wa karibu uliodumu kwa zaidi ya miaka miwili. Duru za kuaminika zinasema kuwa uhusiano kati ya wawili hao umedorora, huku wakidaiwa kutokuelewana kabisa. Chanzo cha ugomvi huo bado hakijathibitishwa rasmi, ingawa mwanamama Full Figure […]

Read More
 Bebe Cool Aeleza Sababu ya Wasanii wa Afrika Mashariki Kusalia Nyuma Kisanaa

Bebe Cool Aeleza Sababu ya Wasanii wa Afrika Mashariki Kusalia Nyuma Kisanaa

Mwanamuziki mkongwe kutoka Uganda, Bebe Cool, ameonyesha masikitiko yake kuhusu hali ya muziki wa Afrika Mashariki, akieleza kuwa miaka 15 iliyopita wasanii wa ukanda huo walikuwa na nafasi kubwa ya kufanikiwa kimataifa lakini walikosa kuendeleza juhudi hizo. Kwa mujibu wa Bebe Cool, kipindi hicho kulikuwa na umaarufu mkubwa ambao ulipaswa kutumiwa kama daraja la kuingia […]

Read More
 Bebe Cool Afichua Lengo la Ziara Yake ya Siku 7 Nchini Kenya

Bebe Cool Afichua Lengo la Ziara Yake ya Siku 7 Nchini Kenya

Mwanamuziki nguli kutoka Uganda, Bebe Cool, amefichua kuwa ziara yake ya siku saba nchini Kenya inalenga zaidi kushirikiana na wasanii wa humu nchini na kujenga mahusiano mapya katika tasnia ya muziki wa Afrika Mashariki. Akizungumza wakati wa mahojiano  jijini Nairobi, Bebe Cool alieleza kuwa anatamani kufanya kazi na wasanii wakubwa wa Kenya akiwemo Bien wa […]

Read More
 Bebe Cool Asema Mwanawe Allan Hendrick Anakumbwa na Changamoto za Afya ya Akili

Bebe Cool Asema Mwanawe Allan Hendrick Anakumbwa na Changamoto za Afya ya Akili

Msanii maarufu wa muziki wa Uganda, Bebe Cool, amefunguka na kuthibitisha kuwa mwanawe Allan Hendrick anapambana na changamoto za afya ya akili. Ingawa hakutoa maelezo ya kina kuhusu hali hiyo, amesisitiza kuwa ni jukumu la mwanawe mwenyewe kushinda na kuweza kushughulikia matatizo hayo binafsi. Katika mahojiano na vyombo vya habari, Bebe Cool alieleza kuwa changamoto […]

Read More
 Bebe Cool Azua Gumzo Baada ya Kuwekeza $700K Kwenye Album Mpya

Bebe Cool Azua Gumzo Baada ya Kuwekeza $700K Kwenye Album Mpya

Msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Bebe Cool, amefunguka kuhusu maswali yanayoendelea kuibuka kuhusu uwekezaji mkubwa alioufanya katika utengenezaji wa album yake mpya yenye nyimbo 16. Msanii huyo amefichua kuwa amewekeza zaidi ya dola 700,000 za Kimarekani kwenye mradi huo.Akizungumza na waandishi wa habari, Bebe Cool, ambaye jina lake halisi ni Moses Ssali, amesisitiza kuwa […]

Read More
 King Saha akanusha madai ya kutumia mihadarati.

King Saha akanusha madai ya kutumia mihadarati.

Mwanamuziki kutoka nchini Uganda King Saha amejitenga na madai yaliyoibuliwa na Bebe Cool kuwa anatumia mihadarati. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema alihasi matumizi ya dawa za kulevya miaka mingi iliyopita baada ya kugundua kuwa inaathari afya yake. Hitmaker huyo wa “Zakayo”, ameanika tusiyojua kuhusu Bebe Cool kwa kusema kuwa msanii huyo anatumia bangi pamoja […]

Read More