Familia ya Betty Bayo Yaomba Uchunguzi Maalum Kuhusu Kifo Chake cha Ghafla
Familia ya mwimbaji wa injili marehemu Betty Bayo imewasilisha ombi rasmi kwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) ikiitaka ianzishe uchunguzi maalum kuhusu mazingira ya kifo chake cha ghafla. Mama mzazi wa marehemu ndiye aliyeongoza hatua hiyo, akisema familia imeachwa na maswali mengi bila majibu. Kwa mujibu wa familia, Betty hakuwa na historia […]
Read More