Bien Aongoza Kama Msanii Anayetazamwa Zaidi YouTube Kenya 2025

Bien Aongoza Kama Msanii Anayetazamwa Zaidi YouTube Kenya 2025

Mwanamuziki Bien, ambaye zamani alikuwa mwanachama wa kundi la Sauti Sol, ameibuka kinara katika orodha ya wasanii wa Kenya wanaotazamwa zaidi kwenye YouTube kwa mwaka 2025. Kwa mujibu wa YouTube Charts Kenya, Bien amefikisha jumla ya watazamaji milioni 78.7, akithibitisha nafasi yake kama mmoja wa wasanii wenye ushawishi mkubwa kwenye tasnia ya muziki nchini Kenya. […]

Read More
 Bien Awaonya Wanaoidharau Maisha ya Ndoa

Bien Awaonya Wanaoidharau Maisha ya Ndoa

Mwanamuziki Bien, kutoka kundi la Sauti Sol, ameweka wazi mtazamo wake kuhusu ndoa akisema kwamba ni jambo zuri na lenye manufaa kwa mtu binafsi na hata kwa jamii. Akipiga stori na SPM Buzz, Bien amesema kuwa licha ya kuwepo kwa mitazamo tofauti kutoka kwa watu wengine, yeye anaamini ndoa inaleta ukuaji wa kweli katika maisha […]

Read More
 Director Trevor Ampongeza Bien kwa Kumlipa Vizuri GenZ Goliath Katika Video Mpya ya Muziki

Director Trevor Ampongeza Bien kwa Kumlipa Vizuri GenZ Goliath Katika Video Mpya ya Muziki

Mkurugenzi Mkuu wa Watayarishaji wa Maudhui ya Kidijitali nchini Kenya, Director Trevor, amemsifu msanii Bien kwa kumuonesha heshima ya hali ya juu Gen Z Goliath kwa kumlipa vizuri na kumhudumia ipasavyo kwa ajili ya kuonekana kwa muda mfupi kwenye video ya muziki. Kupitia mitandao ya kijamii, Director Trevor ameweka wazi kuwa Bien alifuata taratibu zote […]

Read More
 Bien na Matata Wauza Tiketi Zote Paris, Waweka Historia Mpya ya Muziki wa Kenya

Bien na Matata Wauza Tiketi Zote Paris, Waweka Historia Mpya ya Muziki wa Kenya

Wasanii nyota wa Kenya Bien-Aimé Baraza (maarufu kama Bien) na kundi la Matata wameweka historia kwa kuuza tiketi zote katika onyesho lao la muziki lililofanyika mjini Paris, Ufaransa, Ijumaa usiku hatua inayotajwa kama ushindi mkubwa kwa muziki wa Kenya kimataifa. Tamasha hilo lililoandaliwa katika ukumbi maarufu wa La Bellevilloise, ulioko katikati ya jiji la Paris, […]

Read More
 Bien Ajitetea Baada ya Kauli Tatanishi Kuhusu Wanawake wa Kenya

Bien Ajitetea Baada ya Kauli Tatanishi Kuhusu Wanawake wa Kenya

Mwanamuziki maarufu kutoka Kenya na mshiriki wa kundi la Sauti Sol, Bien-Aimé Baraza, amevunja ukimya kufuatia mjadala ulioibuka mitandaoni kuhusu mstari wa wimbo wake mpya unaozungumzia wanawake wa Kenya kuwa na foreheads kubwa (paji kubwa za uso). Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, Bien alisisitiza kuwa wimbo wake ni kazi ya sanaa inayopaswa kuchukuliwa kwa […]

Read More
 Shabiki Aweka Historia Kwenye Tamasha la Bien New York kwa Pendekezo la Ndoa la Kushtukiza

Shabiki Aweka Historia Kwenye Tamasha la Bien New York kwa Pendekezo la Ndoa la Kushtukiza

Tamasha la Bien jijini New York liligeuka kuwa jukwaa la mapenzi na mshangao, pale ambapo shabiki mmoja aliwashangaza wote kwa kutoa pendekezo la ndoa mbele ya umati mkubwa wa mashabiki waliofurika kwenye ukumbi huo uliojaa hadi pomoni. Bien, mwanamuziki mahiri kutoka Kenya na mwanachama wa kundi maarufu la Sauti Sol, alikuwa akitumbuiza kwa hisia moja […]

Read More
 Bien-Aime Ajitangaza Kuwa Balozi wa Gitaa la Jawaya la Fancy Fingers

Bien-Aime Ajitangaza Kuwa Balozi wa Gitaa la Jawaya la Fancy Fingers

Katika tukio lililowashangaza na kuwaburudisha mashabiki wa muziki wa Afrika Mashariki, msanii mashuhuri Bien-Aime Baraza ametangaza kuwa yeye ndiye balozi rasmi wa chapa ya gitaa ya Jawaya, inayomilikiwa na mwanamuziki mwenzake wa Sauti Sol, Fancy Fingers. Kupitia ujumbe wake uliojaa mzaha aliouweka kwenye mitandao ya kijamii, Bien alisema kwamba amejichagulia nafasi ya kuwa “brand ambassador” […]

Read More
 Bien wa Sauti Sol ahirisha ziara yake ya muziki nchini Marekani

Bien wa Sauti Sol ahirisha ziara yake ya muziki nchini Marekani

Mwimbaji maarufu nchini Kenya anayeunda kundi la Sauti Sol, Bien Aime Baraza ametangaza kuahirisha ziara yake ya muziki nchini Marekani Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Duke Concept Entertainment kupitia ukurasa wao rasmi wa Instagram, maamuzi hayo yametokana na kukosekana kwa baadhi ya wanachama muhimu wa bendi ambao kwa mujibu wao ingeathiri mchakato mzima wa […]

Read More
 Eric Omondi apigwa marufuku kuhudhuria tamasha la Sol Fest

Eric Omondi apigwa marufuku kuhudhuria tamasha la Sol Fest

Mwimbaji mkuu wa Sauti Sol Bien-Aime Baraza amempiga marufuku mchekeshaji Eric Omondi kuhudhuria tamasha lijalo la Sol Fest. Katika taarifa aliyotoa kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bien ameweka wazi kuwa Omondi hataruhusiwa katika ukumbi wa hafla hiyo kutokana na kitendo chake cha kuwazungumzia vibaya wasanii wa Kenya. Hitmaker huyo wa “Inauma” ameongeza kuwa tayari wameagiza […]

Read More