Breaking!

Full Guide 2026
Most Trusted Non GAMSTOP Casinos in the UK for 2024
Best Offers & Free Spins 2026
Genuine_gameplay_experiences_and_https_bigclashs-casino_com_offer_serious_casino
November 17, 2026
  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Tech
  • Sports

Tag: BIEN

 BIEN WA SAUTI SOL AKIRI KUWAHI KUTAKA KUIVUNJA NDOA YAKE NA MKEWE CHIKI KISA MSONGO WA MAWAZO
Robert Elim March 9, 2022
Comments (0)

BIEN WA SAUTI SOL AKIRI KUWAHI KUTAKA KUIVUNJA NDOA YAKE NA MKEWE CHIKI KISA MSONGO WA MAWAZO

Mwanakikundi wa bendi ya Sauti Sol, Bien Barasa ameendelea kutoa ushuhuda wa ndani kuhusu maisha yake, amefunguka kwamba aliwahi kutaka kuivunja ndoa yake. Kwenye podcast ya Bald Box msanii huyo amesema kwamba mwaka wake wa kwanza kwenye ndoa nusra ampe talaka mke wake Chiki kuruka baada ya kupitia wakati mgumu kipindi cha korona. Hitmaker huyo […]

Read More
 BIEN WA SAUTI SOL MBIONI KUKAMILISHA COLLABO YAKE NA KUNDI LA ETHICS
Robert Elim February 2, 2022
Comments (0)

BIEN WA SAUTI SOL MBIONI KUKAMILISHA COLLABO YAKE NA KUNDI LA ETHICS

Member wa Sauti Sol Bien na wasanii wa kundi la muziki wa gengetone Ethics Entertainment wameingia studio kwa ajili ya kuandaa kazi yao ya pamoja. Kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii wasanii hao wameonekana kuwa katika jukumu la kushirikiana kuandaa wimbo katika mazingira ya Studio wakivibe na mdundo wa kazi yao mpya. Video hiyo […]

Read More
 BIEN BARAZA WA SAUTI SOL ATANGAZA KUACHA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII
Robert Elim January 28, 2022
Comments (0)

BIEN BARAZA WA SAUTI SOL ATANGAZA KUACHA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII

Mwanamuziki mahiri wa kundi maarufu la muziki kutoka nchini Kenya ‘Sauti Sol’ Bien-Aime Baraza ametangaza kubadilisha mfumo wa matumizi yake ya mitandao ya kijamii, kutokana na kile alichodai kuwa mitandao hiyo ni sawa na sehemu ya sumu. Bien ameutumia ukurasa wake wa mtandao wa twitter kubainisha dhamira yake ya kuacha mitandao baada ya kutafakari maisha […]

Read More
 BIEN WA SAUTI SOL ATOA OFA  KWA YEYOTE ATAKAYEMREJESHEA SIMU YAKE ILIYOIBIWA
Robert Elim January 2, 2022
Comments (0)

BIEN WA SAUTI SOL ATOA OFA KWA YEYOTE ATAKAYEMREJESHEA SIMU YAKE ILIYOIBIWA

Member wa Sauti Sol, Bien ameahidi kutoa ofa ya shillingi elfu 50 kama zawadi kwa yeyote atakayemrudishia simu yake ambayo juzi kati iliibiwa katika ukumbi wa burudani wa Carnivore kwenye onesho la NRG Wave Concert. Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bien ameandika ujumbe wa masikitiko kwa kusema kwamba aliibiwa simu aina ya Infinix Note 11 […]

Read More
 ERIC OMONDI NA BIEN WA SAUTI SOL WARUSHIANA MAKONDE KWENYE ONESHO LA KONSHENS
Robert Elim January 1, 2022
Comments (0)

ERIC OMONDI NA BIEN WA SAUTI SOL WARUSHIANA MAKONDE KWENYE ONESHO LA KONSHENS

Mchekeshaji Eric Omondi ameingia kwenye headlines baada ya kutaka kuzichapa na member wa Sauti Sol, Bien baraza usiku wa kuamkia Januari mosi katika onesho la Konshens Jijini Nairobi. Chanzo cha ugomvi huo ni baada ya Omondi kushinikiza kundi la Sauti Sol watumbuize wa mwisho katika orodha ya wasanii kama njia ya kuwapa heshima. Làkini Pia […]

Read More

  • 1
  • …
  • 3
  • 4

About Urban Spice

UrbanSpice.ke is Kenya's flavor-packed digital hub, delivering the hottest Entertainment, Sports, and Tech stories with a bold twist.

🔥 Spice Up Your Daily Buzz- One headline at a time.

Quick Links

  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • Lifestyle
  • Tech
  • Sports
  • Contact Us ▼
    • 📧 info@urbanspice.ke
    • 📧 urbanspice254@gmail.com
    • 📞 0750 396 709
    • 💬 Chat on WhatsApp

Follow Us

Stay in the loop with the latest buzz.

Contact Us

Email 1:info@urbanspice.ke

Email 2:urbanspice254@gmail.com

Phone: 0750 396 709

WhatsApp: Chat on WhatsApp

© 2025 UrbanSpice.ke — All rights reserved.