Bien wa Sauti Sol ajibu madai ya Crystal Asige kufungua kesi mahakamani dhidi ya Sol Generation
Mwimbaji wa Sauti Sol amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya aliyekuwa msanii wa Sol Generation Crystal Asige kuwasilisha kesi mahakamani dhidi ya bendi hiyo maarufu kwa kukiuka mkataba wake. Akizungumza na Mpasho, Bien amesema bendi ya Sauti Sol iko tayari kukutana na seneta huyo mteule ambaye anawakilisha watu wanaoishi na ulemavu, mahakamani kupata mwanga […]
Read More