Saka Atia Saini Kandarasi Mpya ya Miaka Mitano Arsenal

Saka Atia Saini Kandarasi Mpya ya Miaka Mitano Arsenal

Mchezaji wa kimataifa wa Uingereza, Bukayo Saka, ametia saini kandarasi mpya ya miaka mitano kuendelea kuichezea klabu ya Arsenal F.C. hadi mwaka elfu mbili thelathini na moja. Mazungumzo kuhusu kandarasi hiyo yalikuwa yakiendelea kwa takribani mwaka mmoja, huku taarifa zikieleza kuwa Saka alikubali kuongeza muda wake wa kusalia klabuni hapo mwezi Januari. Hapo awali, mwaka […]

Read More