Dr. Ofweneke apata kigugumizi baada ya kuitishwa millioni 70 kumleta Burna Boy Kenya

Dr. Ofweneke apata kigugumizi baada ya kuitishwa millioni 70 kumleta Burna Boy Kenya

Mchekeshaji Dr. Ofweneke ameshangazwa na kiasi cha pesa alichotakiwa kulipa kwa ajili ya kumleta Burna Boy kutumbuiza nchini Kenya. Kupitia ukurasa wa Instagram Ofweneke amesema uongozi wa Burna Boy kupitia mama yake mzazi Bose Ogulu ulimtaka alipe kiasi cha shillingi millioni 70 kumpata msanii huyo kutumbuiza kwenye mkesha wa kukaribisha mwaka mpya wa 2023. “Weeh […]

Read More
 STEFFLON DON AKIRI BURNA BOY KUMUIMBIA WIMBO WA LAST LAST

STEFFLON DON AKIRI BURNA BOY KUMUIMBIA WIMBO WA LAST LAST

Mwimbaji Stefflon Don anaamini Burna Boy alimuimba kwenye wimbo wake maarufu “Last Last” ambao ulitoka Mei mwaka huu. Kwenye mahojiano na TT Torrez, Stefflon amesema alikuwa penzini na Burna Boy kwa miaka miwili na nusu na tangu wameachana mwaka mmoja uliopita hajaingia tena kwenye mahusiano mapya. Licha ya Stefflon Don kukubali kuwa Burna Boy alimlenga […]

Read More
 BURNA BOY AWATOLEA UVIVU MASHABIKI WA WIZKID KISA KUPONDA MAFANIKIO YA ALBUM YAKE

BURNA BOY AWATOLEA UVIVU MASHABIKI WA WIZKID KISA KUPONDA MAFANIKIO YA ALBUM YAKE

Msanii kutoka Nigeria Burna Boy ameendelea kurushiana maneno na mashabiki wa Wizkid, kupitia mtandao wa Twitter ameshambuliana nao tena hadi kutishia kumpiga Wizkid. Burna Boy alijikuta akiingia kwenye vita hiyo ya maneno baada ya mashabiki wa Wizkid kumvamia kwenye tweet yake ambayo aliweka mafanikio ya Album zake. Baada ya mashabulizi ya maneno kutoka kwa Wizkid […]

Read More
 LOVE DAMINI YA BURNA BOY YAWEKA REKODI BOOMPLAY

LOVE DAMINI YA BURNA BOY YAWEKA REKODI BOOMPLAY

Mwanamuziki kutoka Nigeria Burna Boy anaendelea kufanya vizuri kupitia album yake mpya na ya sita katika muziki wake iitwayo “Love, Damini” ambayo ilitoka rasmi Julai 8 mwaka huu. Habari njema ni kwa mashabiki wa mkali huyo ni kwamba, ameweka rekodi katika mtandao wa Boomplay kwa album yake hiyo yenye mwezi mmoja na siku kadhaa tangu […]

Read More
 BURNA BOY AACHIA RASMI TRACKLIST YA ALBUM YAKE

BURNA BOY AACHIA RASMI TRACKLIST YA ALBUM YAKE

Mwanamuziki kutoka Nigeria Burna Boy ameachia rasmi orodha ya ngoma zinazopatikana kwenye album yake mpya ya Love Damini ambapo ina jumla ya ngoma 19 ikiwa na collabo 9 pekee. Mkali huyo ambaye Julai 2 alisherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, amewapa mashavu wasanii kama J Balvin, Ed Sheeran na wengine wengi kwenye album yake hii mpya. […]

Read More
 BURNA BOY AWAKOSOA MASHABIKI KUHUSU MAPOKEZI YA WIMBO WAKE “LAST LAST”

BURNA BOY AWAKOSOA MASHABIKI KUHUSU MAPOKEZI YA WIMBO WAKE “LAST LAST”

Mwanamuziki wa Nigeria Burna Boy amejitokeza kukosoa mashabiki zake kwa jinsi wamepokea wimbo wake uitwao “Last Last”. Kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa Tik Tok Burna Boy amesema watu wanafurahia wakichezea wimbo huo ilhali ni wa maumivu ya mapenzi. Ujumbe huo umewaaminisha walimwengu kuwa huenda mwanamuziki huyo anapitia wakati mgumu kuhusiana na maswala ya […]

Read More
 BURA BOY ATIANI, AHUSIKA NA MAUJI YA WATU NIGERIA

BURA BOY ATIANI, AHUSIKA NA MAUJI YA WATU NIGERIA

Staa wa muziki wa Nigeria Burna Boy ameingia kwenye msala mzito mno wa mauaji. Kwa mujibu wa Polisi wa Lagos nchini Nigeria, wanawashikilia maafisa watano wa Polisi wenye ukaribu na Burna Boy kwa tuhuma ya kuwapiga risasi watu wawili kwenye Klabu ya Cubana usiku wa Juni 8, mwaka huu. Taarifa hizo zinaeleza kuwa, Polisi hao […]

Read More
 BURNA BOY KUACHIA ALBUM YAKE MPYA MWEZI JULAI

BURNA BOY KUACHIA ALBUM YAKE MPYA MWEZI JULAI

Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy ametangaza rasmi kuachia album yake ya sita baada ya kupata mafanikio makubwa na album ya ‘Twice as Tall’ iliyotoka mwishoni mwa mwaka 2020. Akizungumza na mchekeshaji Trevor Noah kwenye, Burna boy amesema ataachia album yake mpya kwenye siku ya kuzaliwa kwake Julai 2 mwaka huu. Ikumbukwe, Burna Boy […]

Read More
 KIJANA ALIYESUKUMWA NA BURNA BOY AAPA KUVAA SHATI MWAKA MZIMA

KIJANA ALIYESUKUMWA NA BURNA BOY AAPA KUVAA SHATI MWAKA MZIMA

Kijana aliyesukumwa stejini na  Burna Boy ameahidi kutovua shati mwaka mzima, shati ambalo alilivaa usiku ule aliosukumwa wakati akijaribu kuomba msaada kwa Staa huyo wa muziki kutoka nchini Nigeria. Kwenye mahojiano na vyombo vya habari nchini Nigeria kijana huyo amesema ni fahari sana kwake na alifurahishwa na lile tukio ndio maana ameapa kulitunza mwilini shati […]

Read More