Mabingwa Watetezi Senegal Wanyakuwa Nafasi ya Tatu CHAN 2024
Senegal imefanikiwa kunyakua nafasi ya tatu kwenye michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 baada ya kuichapa Sudan kwa mikwaju ya penalti 4-2, kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika za kawaida na nyongeza, jana jioni. Mabingwa watetezi hao walionekana kuonyesha ustadi na uthabiti mkubwa katika mechi hiyo ya kutafuta nafasi ya tatu, […]
Read More