CHRIS BROWN ABURUZWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UBAKAJI

CHRIS BROWN ABURUZWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA UBAKAJI

Mwanamuziki wa RnB kutoka Marekani Chris Brown amefunguliwa mashtaka ya ubakaji na mwanamke mmoja ambaye hakutaka jina lake lifahamike. Tukio hilo linadaiwa kutokea Disemba 30, mwaka 2020 kwenye boti iliyokuwa imepaki nje ya nyumba ya Diddy mjini Miami ambapo kulikuwa na party. Chris Brown anadaiwa kuwa alimualika mwanamke huyo kuja kwenye party kwa kupitia rafiki […]

Read More
 CHRIS BROWN AMUUNGA MKONO KYRIE IRVING KUKATAA KUCHANJWA

CHRIS BROWN AMUUNGA MKONO KYRIE IRVING KUKATAA KUCHANJWA

Chris Brown amemuunga mkono mcheza Kikapu Kyrie Irving ambaye amegoma kuchanjwa chanjo ya COVID-19. Kupitia Insta Stories yake kwenye mtandao wa Instagram Chris Brown amesema ana simama na nyota huyo wa Brooklyn Nets na kumuita shujaa wa ukweli. Kyrie Irving anaendelea kuvigusa vichwa vya habari duniani kwa kuigomea chanjo ya COVID-19 ambayo imefanywa kuwa lazima […]

Read More