CHRIS BROWN AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

CHRIS BROWN AACHIA RASMI ALBUM YAKE MPYA

Nyota wa Pop na RnB kutoka Marekani, msanii Chris Brown tayari ameachia album yake mpya iitwayo “Breezy” yenye jumla ya ngoma 24. Album hii mpya inakuwa ni album ya 10 kwa Chris Brown ikiifuata Indigo iliyotoka mwaka 2019. “Breezy” imewashirikisha wasanii kama Wizkid, Ella Mai, H.E.R., Lil Wayne, Blxst, Anderson .Paak, Jack Harlow, Tory Lanez […]

Read More
 ZIARA YA ONE OF THEM ONES YAMNYIMA USINGIZI CHRIS BROWN

ZIARA YA ONE OF THEM ONES YAMNYIMA USINGIZI CHRIS BROWN

Staa wa muziki kutoka Marekani Chris Brown ana zaidi ya miaka 17 kwenye huu muziki, amefanya matamasha mengi katika kipindi cha miaka yote hiyo lakini bado haijamfanya kulizoea Jukwaa. Breezy amefunguka kupitia Big Boy TV kwamba ziara yake ijayo pamoja na Lil Baby “One Of Them Ones” inamtia wasiwasi na kumnyima usingizi kabisa kwenye kuhakikisha […]

Read More
 CHRIS BROWN AMPONGEZA RIHANNA NA MPENZI WAKE ASAP ROCKY KWA KUPATA MTOTO WA KIUME

CHRIS BROWN AMPONGEZA RIHANNA NA MPENZI WAKE ASAP ROCKY KWA KUPATA MTOTO WA KIUME

Moyo wa Chris Brown bado upo kwa Rihanna, hii ni baada ya kumpongeza Ex wake huyo kwa kupata mtoto wa Kiume pamoja na mpenzi wake Asap Rocky. Kupitia instastory yake kwenye mtandao wa Instagram Breezy ameandika ujumbe unaosomeka “Congratulations,” akiambatanisha na emoji za kushukuru huku pia akisindikiza na emoji ya mama mjamzito. Rihanna ambaye amejifungua […]

Read More
 CHRIS BROWN MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

CHRIS BROWN MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE MPYA

Staa wa muziki kutoka Marekani Chris Brown ametupasha juu ya ujio wa Album yake mpya “Breezy”. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika Album hiyo itatoka mwezi Juni mwaka huu. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Go Crazy” hajaweka wazi orodha ya nyimbo wala wasanii walioshiriki kwenye album yake hiyo. Hii itakuwa Album yake ya 10 ikiifuata […]

Read More
 MWANASHERIA WA KESI YA UBAKAJI INAYOMKABILI CHRIS BROWN AJITOA

MWANASHERIA WA KESI YA UBAKAJI INAYOMKABILI CHRIS BROWN AJITOA

Mwanasheria wa kesi ya ubakaji ambayo inamkabili Chris Brown ametangaza kujitoa kwenye shauri hilo. Ariel Mitchell amesema amejitoa kufuatia ushahidi wa sauti (voice note) pamoja na ujumbe mfupi ambazo chris brown alizianika hadharani zikionesha hakuwa na hatia. Ushahidi uliotolewa na Breezy ulimuanika wazi mwanamke huyo kuwa ndiye alikuwa akimuhitaji mwimbaji huyo wa R&B tofauti na […]

Read More
 CHRIS ROWN AANIKA USHAHIDI DHIDI YA TUHUMA ZA UBAKAJI

CHRIS ROWN AANIKA USHAHIDI DHIDI YA TUHUMA ZA UBAKAJI

Staa wa muziki kutoka nchini Marekani Chris Brown ameamua kuanika ushahidi wa sauti ya mwanamke aliyemfungulia mashtaka ya ubakaji anayefahamika kwa jina la Jane Doe Mwanamke huyo alichukua headlines kwenye mitandao ya kijamii alipomtaka mwanamuziki huyo amlipe dolla milioni 20 kwa kile alichodai kuwa Chris Brown alimbaka kwenye Boti mwaka wa 2020. Sasa Chris Brown […]

Read More
 CHRIS BROWN AKANUSHA TUHUMA ZA UBAKAJI ZILIZOIBULIWA NA MWANAMKE MMOJA HUKO MAREKANI

CHRIS BROWN AKANUSHA TUHUMA ZA UBAKAJI ZILIZOIBULIWA NA MWANAMKE MMOJA HUKO MAREKANI

Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Chris Brown ameibuka na kukanusha Taarifa  za kumbaka mwanamke mmoja huko Miami nchini Marekani Desemba 30 mwaka 2020. Kupitia instastory kwenye mtandao wa Instagram Breezy amepuuzilia mbali tuhuma hizo kwa kudai kuwa kila mara anapoachia kazi mpya watu hutengeneza mazingira ya kumchafulia jina. “I hope y’all see this pattern of […]

Read More