DIAMOND PLATINUMZ AACHIA RASMI FIRST OF ALL EP
Mwanamuziki wa Bongofleva Diamond Platinumz ameachia rasmi EP yake ya First Of All iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake. First Of All Ep ina jumla ya nyimbo 10′ ya moto ikiwa na kolabo 5 ambazo mbili kati ya hizo amefanya na wasanii wake kutoka WcB mbosso na zuchu ,huku akitoa shavu kwa mwanamuziki wa […]
Read More