Zuchu Asema Hatima ya Ndoa Yake na Diamond Ipo Mikononi mwa Mungu
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, amezua gumzo mitandaoni baada ya kutoa kauli yenye utata kuhusu mustakabali wa uhusiano wake na staa wa muziki,Diamond Platnumz Akihojiwa katika kipindi cha Refresh Show kinachorushwa na Wasafi TV, wakati wa hafla ya JP Night 2025, Zuchu alionesha wazi kuwa ndoa haipo kwenye mipango yake na Diamond, licha […]
Read More