Diamond Athibitisha Kuachia Albamu Mpya Mwezi Septemba 2025
Mwanamuziki nguli kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ametangaza rasmi kuwa albamu yake mpya inatarajiwa kutoka mwezi Septemba mwaka 2025. Akizungumza katika mahojiano maalum na jarida maarufu la Billboard, Diamond amesema maandalizi ya albamu hiyo yako katika hatua za mwisho. Diamond Platnumz, ambaye ameendelea kuwa mmoja wa wasanii wakubwa barani Afrika, amesema sababu ya kuchelewa kutoa albamu […]
Read More