Drake akuja na mkufu wa Almasi uliotengenezwa kwa Pete za Uchumba 42

Drake akuja na mkufu wa Almasi uliotengenezwa kwa Pete za Uchumba 42

Rapa kutoka Marekani Drake amekuja na mkufu wa Almasi ambao umetengenezwa kwa Pete za Uchumba 42 ambazo aliwahi kutaka kuwavisha wanawake tofauti tofauti kwenye maisha yake lakini akabadili maamuzi. Sonara maarufu Alex Moss ameiambia Tovuti ya TMZ kwamba mkufu huo unaitwa “Previous Engagements” ikiwa ni kumbukumbu kwa wanawake hao ambao Drake alitamani kuwaoa lakini akabadili […]

Read More
 Drake aongoza kusikilizwa Spotify Marekani mwaka 2022

Drake aongoza kusikilizwa Spotify Marekani mwaka 2022

Rapa Drake ndiye mfalme wa Spotify nchini Marekani kwa mwaka 2022, mtandao huo umetoa takwimu za wasanii na nyimbo zilizosikilizwa zaidi kwa mwaka huu Duniani. Drake anaongoza kwa Marekani akifuatiwa na Taylor Swift pamoja na Bad Bunny. Kanye West na The Weeknd wanaikamilisha Top 5. Kwa upande wa Dunia nzima, Bad Bunny anaongoza kwa kuwa […]

Read More
 Kanye West amfukuza kazi mfanyakazi wake kisa Drake

Kanye West amfukuza kazi mfanyakazi wake kisa Drake

Rapa Kanye West ameripotiwa kumfukuza kazi mfanyakazi wake kwenye kampuni ya Yeezy kufuatia kupiga wimbo wa Drake ofisini. Hii ni kwa mujibu wa Rolling Stone. Utakumbuka juzi kati Drake alitapika nyongo kwenye “Circo Loco” ngoma ambayo inapatikana kwenye Album ya pamoja na 21 Savage, Her Loss. Drizzy alifunguka ya moyoni kwamba aliamua kupatana na Kanye […]

Read More
 Drake na The Weeknd wagoma kupeleka kazi zao Grammy

Drake na The Weeknd wagoma kupeleka kazi zao Grammy

Wanamuziki Drake na The Weeknd wameendelea kuziwekea mgomo Tuzo za Grammy, taarifa mpya zinasema wakali hao kutoka nchini Canada hawajawasilisha nyimbo zao kwa ajili ya kufikiriwa (Consideration) kwa tuzo za mwaka 2023. Album zao ‘Honestly, Nevermind’ na ‘Dawn FM’ hazijawasilishwa kwenye kipengele chochote cha tuzo hizo kwa mwaka 2023 sambamba na nyimbo zao Hit kama […]

Read More
 DRAKE AKANUSHA KUKAMATWA SWEDEN

DRAKE AKANUSHA KUKAMATWA SWEDEN

Usiku wa kuamkia leo hashtag ya Free Drake ilikamata headlines za mitandao ya Kijamii baada ya taarifa kuwa Drake na walinzi wake wamekamatwa nchini Sweden kwa makosa ya kukutwa na Bangi. Taarifa hiyo ilichochewa na video ambayo ilionesha ndege binafsi ya Drizzy ikiwa nchini humo. Sasa baada ya taharuki hiyo, timu yake imeibuka na kukanusha […]

Read More
 DRAKE ANG’AA KWENYE TUZO ZA BILLBOARD MUSIC AWARDS 2022

DRAKE ANG’AA KWENYE TUZO ZA BILLBOARD MUSIC AWARDS 2022

Rapa Drake ameendelea kung’aa kwenye Tuzo za Billboard (Billboard Music Awards) ambapo usiku wa kuamkia leo ametengeneza rekodi ya kuwa msanii aliyeshinda Tuzo nyingi zaidi, akishinda Jumla ya Tuzo 34 kwenye historia ya BBMA’s. Drizzy ameshinda Tuzo ya Top Rap Artist, Top Rap Album kupitia album yake ya Certified Lover Boy na Top Artist. Kwa […]

Read More