DRAKE ALIPITA NA MREMBO JULIA FOX KABLA YA KANYE WEST
Kumbe Rapa Kanye West kutoka nchini Marekani amepita sehemu ambayo rapa mwenzake Drake alipita kitambo. Taarifa mpya mjini zinadai kwamba Drake aliwahi kuwa na mahusiano na mrembo Julia Fox ambaye kwa sasa yupo penzini na Kanye West. Kwa mujibu wa tovuti ya Page Six, penzi lao lilianza mwaka 2020 kufuatia ukaribu ulioanza mwaka 2019 baada […]
Read More